International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu, Mnakumbuka Trump alivyoingia madarakani alijinadi akisema kuwa anammudu Putin na kwamba akiingia tu madarakani ataimaliza hiyo vita "ON DAY ONE?" Yaani it seems kabisa matarajio yake na...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Utawala wa kijeshi wa junta wa Niger umeanza kuwabana na kuwatimua Wachina waliolewa nchini humo. Inaeleweza kuwa utawala huo umekuwa katika msuguano mkubwa na Wachina katika taifa hilo la...
2 Reactions
15 Replies
927 Views
Baada ya kuzidi kwa mfululizo wa mashambulizi ya mauaji ya raia ndani ya Ukraine siku za hivi karibuni kutoka kwa jeshi la Putin kansela mpya wa Ujerumani ameruhusu Ukraine kutumia silaha za...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
⚠️Benjamin Netanyahu anajibu Ufaransa, Uingereza na Canada: “Kwa kuitaka Israel ikomeshe vita vya kujihami kwa ajili ya maisha yetu kabla ya magaidi wa Hamas kwenye mpaka wetu kuangamizwa na kwa...
7 Reactions
97 Replies
4K Views
Wanaukumbi. Duru za habari zinasema Al Jazeera Hamas imekubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza na Marekani. Rasimu ya makubaliano hayo ni pamoja na kusitisha mapigano kwa siku 60 na...
0 Reactions
12 Replies
898 Views
Angalau watu 20 wameuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Fahmi al-Jarjawi mjini Gaza, ambapo wakimbizi wa ndani walikuwa wakijihifadhi, kwa mujibu wa waokoaji. Zaidi ya watu 60...
1 Reactions
62 Replies
2K Views
Netanyahu amesema kama mazungumzo ya US na Iran yatashindikana juu ya Iran kuachana na urutubishaji wa mabomu ya nyuklia basi Israeli itashambulia vinu vya nyuklia vya Iran upesi iwezekanavyo...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Viongozi wa afrika wanapokuta wana makosa wanatafuta njia za kuungwa mkono.sasa muelewe kuwa hata hapa waunga mkono ndani ya ccm wanaweza kuwa alipozaliwa .Utanganyika utajulikana sasa mfano kwa...
2 Reactions
3 Replies
668 Views
Hizi ndege wachambuzi wanakwambia ni Bora kuliko hata F-35 za kimarekani Jamaa anapanga kumuuzia Pakistani mzigo wa kutosha Picha nimeweka hapo chini hizi ndege hata kimuonekano zinashawishi...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Helikopta iliyombeba Rais wa Russia, Vladimir Putin, ilikumbwa na mashambulizi makali ya ndege zisizo na rubani (drones) za Ukraine akiwa katika ziara mkoani Kursk mapema wiki hii, kwa mujibu wa...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Wadau hamjamboni nyote? Monday, May 26, 2025 Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Monday, May 26, 2025 IDF: ‘Key terrorists’ targeted in strike on Gaza...
1 Reactions
0 Replies
356 Views
Rais Paul Kagame akitembelea kituo cha Shirika la Uhandisi na Uzalishaji la Rwanda (REMCO) wakati wa maonyesho katika Kongamano la Kimataifa la Usalama la Afrika (ISCA), lililoanza Jumatatu, Mei...
20 Reactions
164 Replies
9K Views
1. Bill Gates Huyo ametoa sehemu kubwa ya utajiri wake kusaidia sekta muhimu za Afya, Kilimo, Mazingira na Elimu kote duniani. Amechangia pakubwa kumaliza tatizo la polio kwenye mataifa kama...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!! Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
SADC ikiendelea kuondoa silaha zake.
0 Reactions
1 Replies
561 Views
Siku chache baada ya Serikali ya DR Congo kuonesha nia ya kumfungulia mashtaka ya uhaini na makosa ya kivita pamoja na kumhusisha na Kundi la Waasi wa M23, Rais wa zamani wa Nchi hiyo, Joseph...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Watu wengi walivurugwa baada ya kuiona picha ya Trump akiwa amejipa upapa. Watu wakaongea weee ila mzee baba alijua tu, this time Marekani inatoa papa. Akaamua kutupa picha, sema na vichwa vyetu...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa. Leo nimepekuwa sana mtandao na...
12 Reactions
84 Replies
3K Views
Rais wa zamani wa Filipino ametimiza miezi miwili Jela kwa tuhuma ya makosa dhidi ya ubinadamu na Mauaji. Tuzidi kumpa Moyo katika kipindi hiki kigumu anachopitia ndani ya jela.
4 Reactions
18 Replies
981 Views
For over 3,000 years, Ancient Egypt stood as one of the most powerful and advanced civilizations on Earth. It built the pyramids when Europe was still in the Stone Age. It created writing...
1 Reactions
9 Replies
824 Views
Back
Top Bottom