Mwanaharakati wa umoja wa mataifa mahususi kufuatilia maslahi ya wapalestina bi Francesca Albanese ameungana na Webabu na taasisi 761 duniani kote ili upatikane msafara mkubwa wa kuingia ndani ya...
Msemaji wa Ikulu ya Urusi Dmitry Peskov, amesema rais Vladimir Puin hana mipango yoyote ya kuzungumza na rais wa Marekani Donald.
Hivi Karibuni Trump ameonesha hadharani kukasirika kwake na rais...
Jana baada ya Israel kutoa amri ya watu kuhama kwenye maeneo yao na kwenda sehemu nyingine walioelekezwa, Majeshi ya Israel 🇮🇱 jiani talia za kugawa maji na bites kwa wanawake na watoto waliokuwa...
Tuliwambia Yemen hajawahi kushindwa vita USA ilibidi apige mogoti kwa njia ya Oman, alijipeleka kumsaidia Israel kuiondolea blockade alio wekewa kule Red Sea kipigo alicho kipata kutoka kwa Al...
Wakuu na wajuzi wa mambo Nyani Ngabu , Mayor Quimby Kiranga I huyu mtoto wa Elon Musk ana umuhimu gani kwenye shughuli za Trump maana kwenye ziara nzito za Trump na yeye huwa yupo tu. Naomba...
"Kitu ambacho Vladimir Putin hajui ni kuwa kama sio mimi mambo mengi mabaya yangekuwa yameitokea Urusi, namaanisha MAMBO MABAYA. Anacheza na moto!
Donald J. Trump
Rais wa Marekani
Mei 27, 2025...
Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media.
The strikes come after repeated...
Bilionea wa teknolojia Elon Musk ametangaza kuwa anaondoka katika utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, ambako aliongoza mradi wa miezi kadhaa wa kupunguza gharama katika serikali ya...
Tayari minong'ono imesambaa kushangazwa na ushujaa wa wapalestina katika kutetea ardhi na imani zao.
Viongozi wote wakuu wa Hamas kwa mujibu wa Israel wameshauliwa mpaka makamanda wadogo wadogo...
Mwanamitindo mchanga kutoka Mexico , Alikuwa na umri wa miaka 21 aliomba kujiunga na Elites ili apate Uhuru wa kimaisha akakataliwa kujiunga nao mpaka pale atakapokula mtu..
Jioni ya Agosti 3...
Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.
Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump...
Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump...
Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano na Baraza lake la Mawaziri na kusema kwamba usemi wa mwisho juu ya sera ya wafanyakazi utatolewa na wakuu wa mashirika ya shirikisho, sio mkuu wa...
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametia saini mswada wa sheria unaowataka madereva wote wa magari nchini humo kulipia ushuru wa kusikiliza redio kabla magari yao hayajapewa bima ya magari...
Ugonjwa wa kipindupindu umeua watu 70 ndani ya siku mbili katika mji mkuu wa Sudani, Wizara ya Afya meitangaza leo Alhamisi, Mei 29. Haya yanajiri wakati Khartoum ikikumbwa na kuzorota kwa huduma...
Wizara ya Ulinzi yathibitisha idhini ya serikali ya makazi mapya 22 ya Ukingo wa Magharibi
Katz, Smotrich wapongeza uanzishwaji wa jumuiya mpya, kuhalalisha vituo vya wanyama pori kama 'ukuta wa...
Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa...
HARVARD vs TRUMP (2025): VITA KUU KATI YA ELIMU NA MADARAKA YA SERIKALI
Na Goodluck Maleko J
“Kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani ya kisasa, chuo kikuu kinapambana moja kwa moja na...
Katika Eneo moja linaitwa Ouagadougou Nchini Burkina Faso, Mapinduzi ya Teknolojia yanazidi kushika kasi baada ya Watoto walio na umri wa miaka 7 kupewa ujuzi wa kutengeneza Roboti.
Watoto wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.