International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza Mapema leo, mamia ya wakaazi wa Gaza walivamia ghala kubwa katikati mwa Gaza, linalotumiwa na Hamas kuweka akiba ya chakula kingi...
0 Reactions
39 Replies
2K Views
Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa...
3 Reactions
10 Replies
848 Views
=== Afisa mmoja wa Saudi Arabia alikanusha Jumatatu taarifa za vyombo vya habari zilizodai kuwa ufalme huo, ambao ni mahali palipozaliwa Uislamu, ungeondoa marufuku ya miaka 73 dhidi ya pombe...
26 Reactions
195 Replies
8K Views
Mapema jioni hii Yemen ilirusha kombora la balistiki kwa Israel na safari hii mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel wa Arrow interceptor likipaa na kulidunga kombora la balistiki. Wakati kwenye uwanja...
4 Reactions
7 Replies
742 Views
Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo... Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯 Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀 Sisi huku Afrika...
14 Reactions
60 Replies
3K Views
Mwanaharakati wa umoja wa mataifa mahususi kufuatilia maslahi ya wapalestina bi Francesca Albanese ameungana na Webabu na taasisi 761 duniani kote ili upatikane msafara mkubwa wa kuingia ndani ya...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Msemaji wa Ikulu ya Urusi Dmitry Peskov, amesema rais Vladimir Puin hana mipango yoyote ya kuzungumza na rais wa Marekani Donald. Hivi Karibuni Trump ameonesha hadharani kukasirika kwake na rais...
1 Reactions
3 Replies
612 Views
Jana baada ya Israel kutoa amri ya watu kuhama kwenye maeneo yao na kwenda sehemu nyingine walioelekezwa, Majeshi ya Israel 🇮🇱 jiani talia za kugawa maji na bites kwa wanawake na watoto waliokuwa...
20 Reactions
146 Replies
6K Views
Tuliwambia Yemen hajawahi kushindwa vita USA ilibidi apige mogoti kwa njia ya Oman, alijipeleka kumsaidia Israel kuiondolea blockade alio wekewa kule Red Sea kipigo alicho kipata kutoka kwa Al...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu na wajuzi wa mambo Nyani Ngabu , Mayor Quimby Kiranga I huyu mtoto wa Elon Musk ana umuhimu gani kwenye shughuli za Trump maana kwenye ziara nzito za Trump na yeye huwa yupo tu. Naomba...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
"Kitu ambacho Vladimir Putin hajui ni kuwa kama sio mimi mambo mengi mabaya yangekuwa yameitokea Urusi, namaanisha MAMBO MABAYA. Anacheza na moto! Donald J. Trump Rais wa Marekani Mei 27, 2025...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media. The strikes come after repeated...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Bilionea wa teknolojia Elon Musk ametangaza kuwa anaondoka katika utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, ambako aliongoza mradi wa miezi kadhaa wa kupunguza gharama katika serikali ya...
0 Reactions
2 Replies
554 Views
Tayari minong'ono imesambaa kushangazwa na ushujaa wa wapalestina katika kutetea ardhi na imani zao. Viongozi wote wakuu wa Hamas kwa mujibu wa Israel wameshauliwa mpaka makamanda wadogo wadogo...
3 Reactions
12 Replies
915 Views
Mwanamitindo mchanga kutoka Mexico , Alikuwa na umri wa miaka 21 aliomba kujiunga na Elites ili apate Uhuru wa kimaisha akakataliwa kujiunga nao mpaka pale atakapokula mtu.. Jioni ya Agosti 3...
0 Reactions
2 Replies
555 Views
Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake. Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump...
3 Reactions
6 Replies
769 Views
Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano na Baraza lake la Mawaziri na kusema kwamba usemi wa mwisho juu ya sera ya wafanyakazi utatolewa na wakuu wa mashirika ya shirikisho, sio mkuu wa...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametia saini mswada wa sheria unaowataka madereva wote wa magari nchini humo kulipia ushuru wa kusikiliza redio kabla magari yao hayajapewa bima ya magari...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom