International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanajeshi watatu wa IDF wafariki vitani katika Ukanda wa Gaza: Staff-Sajent Lior Steinberg, umri wa miaka 20, kutoka Petah Tikva, daktari katika mapigano (Cpmbat Medic) kutoka kikosi cha Rotem...
1 Reactions
20 Replies
977 Views
Imam wa Australia ambaye aliomba msamaha kwa mahubiri ya chuki dhidi ya Wayahudi sasa anataka 'kuwaua wadhalimu wote'. Sheikh Ahmed Zoud hivi majuzi alifutilia mbali madai kwamba Wayahudi wana...
0 Reactions
7 Replies
708 Views
Ukraine imesema imekamilisha shambulio lake kubwa zaidi la masafa marefu tangu vita na Urusi kuanza, baada ya kutumia droni zilizosafirishwa kwa siri kushambulia kwa pamoja ndege za kivita...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Angalau Wapalestina 26 wameuawa na maelfu wamejeruhiwa baada ya vikosi vya Israel kufungua moto Jumapili karibu na kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa Gaza kinachosimamiwa na msingi wenye...
0 Reactions
44 Replies
1K Views
Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Mpango huu ni pigo kuu kwa Hamas maana walitaka kuthibiti chakula ili kuandikisha magaidi wapya kwa mshahara wa Chakula cha Kuiibia raia kimabavu.. Israel imesema inafugua vituo vingine zaidi vya...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Hii wamesema baada ya wao kupiga ndege iliyokua imesalia uwanjani, uwezo wa kufunga anga wanayo, nia wanayo na sababu za kufunga wanazo..... Hawa wana wa Yakubu walibarikiwa sana, ukizingatia...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Zaidi ya makanisa 4,000 yamefungwa mwezi uliopita nchini Rwanda kwa kushindwa kufuata kanuni za afya na usalama, ikiwa ni pamoja na kutokuwa na ufunikaji sauti mzuri. Hii imeathiri hasa makanisa...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Bado tunakumbuka wazee wenzetu. Mola awajalie kwa kauli zile na kazi nzuri na uimara wa jeshi lenu.
5 Reactions
7 Replies
581 Views
Magaidi wa Hamas wanaendelea kupigwa kila uchao baada ya maficho yao kuangamizwa. Ni kawaida ya Magaidi kujificha kwenye maeneo ya raia.
2 Reactions
3 Replies
278 Views
Binti wa Rais wa china na mwenyekiti wa CCP Xi Jinping aitwaye Xi Mingze . Xi Mingze amapanga kugomea kufukuzwa USA kwa kutoa sababu kuwa yeye sio mfuasi wa sera za kikomunisti Mtakumbuka kuwa...
21 Reactions
73 Replies
4K Views
Iraqi: Mlipuko mkubwa ambao chanzo chake hakijafahamika wazi kilikumba mabomba ya mafuta katika eneo la Al-Fatha katikati mwa Kirkuk.
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Jeshi la Uingereza liko kwenye "utayari wa kupigana vita" na linasema kuwa liko chini ya tishio moja kwa moja na vikosi vya uhasama/Maadui.
0 Reactions
3 Replies
597 Views
Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yameanza mjini Istanbul huku Russia ikigugumia maumivu baada ya viwanda vyake vya ndege kushambuliwa na drones za Ukraine, inasemekana katika...
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi. Bomu lenye uzito wa kilo 250 liliharibu jengo kuu la utawala la jiji hilo na kutandaza...
12 Reactions
55 Replies
4K Views
Balozi wa Marekani nchini Israel Mike Huckabee anasema "haifai" kwa Ufaransa, au mtu mwingine yeyote, kulazimisha "taifa la Palestina" kwa wakati huu ambapo Israel watu wake 1,200 waliuwawa na...
2 Reactions
4 Replies
520 Views
Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Iran imeendelea kurutubisha uranium hadi kiwango cha asilimia 60, na kwa sasa ina hifadhi ya uranium yenye uzito wa kilo 408.6. Iwapo kutatokea shambulio, kiasi hiki kingetosha kutengeneza mabomu...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Toka magaidi wa Hamas wafanye mashambulio huko Israel na kufanikiwa kuua watu 1,200 na wengine 251 kutekwa nyara na Magaidi hao. Majeshi ya Israel yana kazi moja tu nayo ni kuwasaka magaidi popote...
1 Reactions
0 Replies
230 Views
Back
Top Bottom