International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baadhi ya wananchi wa Israel wanaopinga mkataba wa kusitisha mapigano na magaidi wa Hamas leo wamejitokeza njia kuzuia Msafiri wa malori yenye misaada kuwapelekea magaidi wa Hamas huko Gaza
5 Reactions
15 Replies
734 Views
Ushirikiano wa Marekani na Israel uliwaza sana namna ya kuwamaliza Hamas ambao wameonekana sugu kushindwa kwa mbinu zote zilizotumika mpaka sasa. Chakula ikaonekana ndicho chambo kizuri cha...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Magaidi wa Hamas wanaendelea kuangamizwa huko Gaza!!! Na Gaza inazidi kusawazishwa na muda si mrefu itakuwa sawa!! https://x.com/vividprowess/status/1928494110580896113?s=61...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Shambulio la Israel katika European Hospital kusini mwa Gaza, ambapo kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Sinwar aliangamizwa katika kituo chake cha kamandi kwenye Handaki lililojengwa chini ya...
0 Reactions
5 Replies
474 Views
Katika Operation ya Gideon Chariots inayoendelea huko Khan Younis mji huo umesawazishwa na makombola yaliyokuwa yanapigwa katika mji huo kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyokuwa imejengwa na...
5 Reactions
59 Replies
2K Views
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli. Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji...
41 Reactions
10K Replies
1M Views
Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa...
3 Reactions
7 Replies
712 Views
Hakuna Taifa duniani linaweza kuwa kichaka cha kizazi cha wanaharakati lialia wanaotukana serikali au kuchukua misimamo na mirengo hatari kwa usalama. Hii ndio demokrasia.
3 Reactions
20 Replies
989 Views
Msikiti wa Al-Kawthar na jengo la makazi kusini mashariki mwa Khan Younis yameangamizwa mapema leo na zaidi ya watu 80 waliokuwa ndani nao wameangamizwa.
8 Reactions
77 Replies
2K Views
Hamas imewasilisha majibu yake kwa pendekezo lililowasilishwa na mjumbe wa Donald Trump wa Mashariki ya Kati, Steve Witkoff, kwa wapatanishi, ishara thabiti zaidi ya maendeleo kuelekea kusitisha...
1 Reactions
1 Replies
363 Views
Athari ya vita vya kionevu na kishenzi vya Gaza zimeanza kuenea kote duniani.Mwanzoni ilikuwa ni Marekani na Ulaya ambapo maandamano makubwa kwenye maeneo nyeti yamefanyika. Kwa upande wa nchi za...
6 Reactions
18 Replies
970 Views
Baada ya siku mbili tu za majibu ya Pakistan kupitia opereshi Marsoos tulimsikia Mark Rubio wa Marekani akisema wamepata intelijensia na wakatumia usiku mzima kuzungumza na waziri mkuu wa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Inatia simanzi kwa kweli! Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing]. Hamas are no heroes. They are suckers and losers. Yahya Sinwar and Co. are punks...
21 Reactions
180 Replies
6K Views
Hivi, raia kama hawa, wanahusikaje kwenye siasa? Inakuwaje wanastahili kifo cha fedheha kiasi hiki! Kwa sababu tu wanaitwa watutsi!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna clip zinasambaa zikiwaonyesha wananchi wa Gaza wakimsifu Rais Trump na hata Benjamin Netanyahu kwa juhudi mpya za Marekani na Israel kupeleka chakula moja kwa moja kwa wale wanaohitaji...
7 Reactions
14 Replies
758 Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Saudi Arabia imeionya Iran kufikia makubaliano ya nyuklia na Trump au kuhatarisha mashambulizi ya Israel. Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia alitoa ujumbe mzito kwa maafisa wa Iran mjini Tehran...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Tarehe 25 Mei inatimia miaka mitano tangu Mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd auawe na polisi kwa kukabwa na goti. Tukio hili lilisababisha maandamano makubwa kote Marekani na hata...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuna race iliyoua waafrica wengi toka dunia iumbwe zaidi ya wazungu, wametufanyia Kila hila kila nyanyaso na Kila ubaya lkn ukikaa vijiwe vya kahawa unakuta ngozi nyani/Tako zinakaa zinaionea...
11 Reactions
190 Replies
5K Views
Back
Top Bottom