Kwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio.
Pia alikuwa akitamani sana atembelee China aongee na Xi
Hatimaye leo ndoto zake zote 2 zimetimia kwanza ya kuongea na...
Raia wa Misri Mohammed Sabri Suleiman amefunguliwa mashitaka 118 ya uhalifu baada ya kufanya shambulio kwenye maandamano ya Colorado yaliyofanyika kuwaunga mkono mateka wa Israel.
Mashtaka dhidi...
Donald Trump ameendelea kumshambulia Elon Musk kupitia mtandao wa Truth Social, akisema:
"Elon alikuwa ‘anavuka mipaka’, nilimwambia aondoke, niliondoa amri ya magari ya umeme (EV Mandate)...
Jeshi la Israel lilidai siku ya Alhamisi kuwa “maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kushambulia miundombinu kadhaa ya chini ya ardhi inayotumika kutengeneza ndege zisizo na rubani (UAVs) ambayo...
Bila shaka kuna vitu Trump kajifunza kuhusu Xi katika hivi vita vya biashara na ushuru mpaka tulipo fikia hapa inawezekana alikuwa ana mchukulia kawaida Rais wa China Xi kama anavyo vichukulia...
Kiongozi wa Upinzani huko Israel bwana Yair Lapid ameishutumu serikali ya Israel chini ya Benjamin Netanyahu kwa kuunda kundi jingine la wanamgambo huko Gaza na kuwapa Silaha. bwana Yair amesema...
Lebanon yalaani shambulizi la anga la jana usiku huko Beirut.
Israel inasema Lebanon ijilaumu yenyewe pamoja na magaidi wa Hezbollah inaowakumbatia.
Waziri wa Ulinzi Israel Katz alijibu matamshi...
Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
Naona wameshibana sasa, mpaka Musk kumwambia Trump bila yeye, asingeshinda
Na pia Musk amekasirika baada ya Trump kuweka kodi kubwa kwa matajiri
Tulisema hawa hawafiki mbali
Yamefika sasa...
Marekani yapinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutaka kusitishwa kwa mapigano Gaza
Marekani inapiga kura ya turufu azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka...
Toka jana, waandishi na watangazaji wengi nchini Burundi, wamekwama jijini Bujumbura. Lengo lao lilikuwa kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi.
Chama tawala cha CNDD-FDD, kiligawa nchi na kupata...
Toka jana na leo Mafahali wawili walikuwa wakijibizana maneno lakini Mwamba waziri Mkuu wa Israel amekuwa kimya sana na kama tujuavyo kimya Kingi kina Mushi do mkubwa.
Maji Iza hayo ya Iran na...
Hongera wapiganaji wetu wa M23, kwa sasa Afrika Mashariki, Afrika ya Kati na jumuiya ya SADC itashuhudia Uhuru Wa Taifa jipya la Congo Mashariki.
Taifa Hili teule litalinda amani na rasilimali za...
Hili zee kiburi hili!!!
https://x.com/khamenei_ir/status/1930218825028415985
Khamenei : "You Americans possess atomic bombs and have the massive destruction of the world at your disposal. What...
ALL COMMENTS (334)
Share your thoughts
Top comments
Stream
martin001pecheur1 day ago
Black are racist in Africa and they want to live wherever they want (Europe, China...
Wana jamvi, naomba kupata elimu kuhusu Watanzania wanao hudumu kwenye jeshi la marekani. Watanzania ambao si wanajeshi wa JWTZ lakini ni wanajeshi wa jeshi la Marekani,
Je wakirudi nyumbani...
Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika...
Ripoti za milipuko mingi karibu na uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hama nchini Syria. Baada ya jana Syria kurusha makombola 2 kuelekea Golan hata hivyo makombola hayo yalipopolewa..
Leo hii Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.