International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

ALL COMMENTS (334) Share your thoughts Top comments Stream martin001pecheur1 day ago Black are racist in Africa and they want to live wherever they want (Europe, China...
0 Reactions
57 Replies
10K Views
Wana jamvi, naomba kupata elimu kuhusu Watanzania wanao hudumu kwenye jeshi la marekani. Watanzania ambao si wanajeshi wa JWTZ lakini ni wanajeshi wa jeshi la Marekani, Je wakirudi nyumbani...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika...
2 Reactions
111 Replies
4K Views
Ripoti za milipuko mingi karibu na uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hama nchini Syria. Baada ya jana Syria kurusha makombola 2 kuelekea Golan hata hivyo makombola hayo yalipopolewa.. Leo hii Israel...
1 Reactions
5 Replies
524 Views
Bill Gates kutoa zaidi ya utajiri wake wa $200bn kwa Afrika. Mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates anasema kuwa sehemu kubwa ya utajiri wake utatumika kuboresha huduma za afya na elimu barani...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika ujumbe kwa familia za wanajeshi watatu waliouawa na bomu kando ya barabara, Waziri Mkuu Netanyahu anasema "Hawakufanyi bure." Anaviita "vita vya haki ya kipekee," akiahidi "kushinda Hamas...
2 Reactions
14 Replies
550 Views
Kwa muda mrefu imekuwa kawaida kwamba misaada ya kibinadamu inayoingia Gaza husimamiwa na Hamas. Lakini badala ya kuisambaza kwa raia wanaohitaji, mara nyingi misaada hiyo huuziwa sokoni au...
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Wape wape vidonge vyao wakimeza wasimeze Shauli yao!!!! https://x.com/fcjoriginal/status/1913388970823803060?s=61
0 Reactions
12 Replies
687 Views
Yasser Abu Shabab, ambaye anajulikana waziwazi huko Gaza kwa kuipinga Hamas, anatoa wito kwa wananchi wa Gaza kuja kuishi chini ya ulinzi wa jeshi la Israel huko Rafah. Ikiwa atafaulu, itakuwa...
1 Reactions
2 Replies
580 Views
Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel. Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi...
1 Reactions
10 Replies
550 Views
Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa...
15 Reactions
33 Replies
2K Views
Waziri wa ulinzi wa Israel Katz anamtaja kwa jina Sharaa wa Syria kuwa ndiye aliyehusika na kurusha roketi, na kuapa 'jibu kamili' hivi karibuni Kufuatia shambulizi la roketi kutoka Syria dhidi...
1 Reactions
6 Replies
580 Views
Zaidi ya ma box 20,000 ya chakula yamesambazwa leo katika eneo la Tel Sultan huko Rafah kama sehemu ya juhudi za misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Kulingana na hazina ya kibinadamu ya...
0 Reactions
5 Replies
397 Views
Nikiingia mitandaoni naona wahindi wengi wanalamlalamikia waziri mkuu kukubali amani yaishe kwa cease fire ambayo ilikuwa pendekezo la Trump.
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Mshukiwa ambaye aliwashambulia wafuasi kadhaa wanaoiunga mkono Israel katika hafla moja leo huko Boulder, Colorado, kwa kutumia Mabom ya Petrol, sasa ametambuliwa na vyombo vya sheria kama...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Mashambulizi hayo yanakuja wakati wapatanishi wa Urusi na Ukraine wanaelekea Istanbul, Uturuki, kwa duru ya pili ya mazungumzo ya amani siku ya Jumatatu. Kulingana na Wizara ya ulinzi ya Urusi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zilizopita ziliripoti shambulizi. Habari hii inahusu jinsi shambulizi lilivyopangwa kwa muda muda mrefu na kufanyika. Habari kamili; Kwa mujibu wa vyanzo ndani ya kitengo cha SBU...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Uholanzi, Dick Schoof, amejiuzulu leo Jumanne baada ya chama cha mrengo wa kulia, PVV, kuondoka kwenye muungano wa Serikali, hatua inayoweza kusababisha uchaguzi wa mapema. Geert...
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa. Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha...
2 Reactions
21 Replies
10K Views
Hivi ndivyo vijana Waarabu wa "Palestina", ambao wengi wenu mnawaunga mkono, huwatendea mbwa na kukosa adabu kwa wazee katika jamii zao. Bila kuchokozwa kabisa vijana hawa walio kosa adabu wali...
2 Reactions
13 Replies
826 Views
Back
Top Bottom