Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku...
Waziri wa Ulinzi wa Israel ameionya Iran leo Jumamosi kuwa mji wake mkuu Tehran "utawaka moto" iwapo itaendelea kuvurumisha makombora ya masafa kuelekea Israel.https://p.dw.com/p/4vu3p...
Marekani imeamrisha wanajeshi wake wote kwenye base za mashariki ya kati waingie kwenye bunker ili kuokoa viwiliwili baada Iran kuanza maangamizi ndani ya Israel
U.S. Servicemembers at two bases...
Wadau hamjamboni nyote nyote. Shambulio la Israel limethibitishwa kwenye kambi ya kijeshi huko Kermanshah Shirika la Habari la Tasnim, lenye mafungamano na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi...
Muda huu Iran imetuma drones zitakachokua masaa kufika, walipigwa maeneno yote ambayo walikua wanatumia kutuma yale magobore yao.....Wamebaki na nguvu ya kutuma vi-drones tu
IDF Spokesman Effie...
General wa Israel aliyechelewa kuingia kwenye mapango ametafunwa mara moya na makombora ya Iran
🇮🇷🇮🇱 | BREAKING: Highly credible reports confirm the Israeli Navy Commander has been killed in...
Hii video imeshtua wengi, Telaviv mitaaa imegeuka Kama Gaza.
This is worse than Ever[emoji1313]
https://x.com/AlanRMacLeod/status/1933673107736105000?t=RNEkIJQhB9oaV0miCVMQMg&s=19
Muda huu hapa ndege nyingine ya F-35 ya Israel imeangushwa huko magharibi mwa Iran
Naona jamaa wameactivate air defense yao vizuri zaidi
More info to come
[emoji845][emoji1130][emoji1134]|...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema limewaua wanasayansi na wataalamu tisa wa nyuklia wa Iran.
Hapo awali, jeshi la Israel lilisema liliwaua sita katika wimbi la kwanza la mashambulizi dhidi...
Houthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wamesema wamefyatua makombora mawili ya masafa marefu (ballistic missiles) kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Ulinzi la...
Professor Jeffrey Sachs ni mtu anaeheshimika Sana Marekani..
Serikali ya Marekani imejaa wanafunzi wake...juzi amesema Washington imejaa wanafunzi wangu waliofeli 😃..
The most interesting part ni...
Wadau hamjamboni nyote. IDF says it’s continuing to strike nuclear targets and scientists, military sites and officials in Iran
By Emanuel Fabian Follow...
Miongoni mwa miujiza ya Qur'an na kwamba ni kitabu chenye muongozo kwa wanadamu wote ni kule kutoonewa haya waarabu ambao kitabu hicho kimeteremshwa kwa lugha yao.
Kuonesha kuwa ni maneno ya...
Watumiaji wakubwa wa uwanja wa ndege wa Ben Gurion ambao ni mashirika ya ndege wenyeji yameamua kuuhama uwanja huo mkubwa pekee nchini humo.
Mashirika hayo ambayo ni Arika na El Al si kuuhama...
Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka...
Wadau hamjamboni nyote.
Mlipuko mkubwa ulisikika muda mfupi uliopita karibu na kambi ya kijeshi ya kijeshi katika mkoa wa Hamedan magharibi mwa Iran, vyombo vya habari vya serikali...
Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.