International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya Marekani kuanza kusogeza madude kuelekea karibu na Iran, haya Uingereza nao pia wameanza maandalizi, makobaz mumeonywa siku nyingi muache ugaidi, muishi kwa amani na dunia ila mlishipaza...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Jana Israel ilijidanganya kuwa imepiga na kumaliza ulinzi wa anga wa Iran na kwa hivyo inaweza kufanya lolote. Kumbe hilo lilikuwa uongo, ni mchezo ambao Iran iliucheza ili kuiingiza mkenge kwa...
26 Reactions
93 Replies
5K Views
Jesus was an Arab so where his apostles, except for Paul (he was Turkish). Ndio ujue hata historia ya dini wengi humu hamjasoma. Old testimony ni Arab Tales. Do your research and argue. We...
1 Reactions
26 Replies
949 Views
Mara baada ya f 35 stealth kudunguliwa sasa Urusi na UChina wataenda kuchukua teknology ya f35 Iran Hii ni Faida kubwa sana kwa Iran,Urusi na UChina Mmarekani hataki kumuuzia yeyote hio f35...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za...
16 Reactions
194 Replies
9K Views
Mzee Ayatollah anaachwa mpweke na lile vazi lake, huyu mshauri ndiye alikua mojawapo wa watu wa karibu yake sana, kawahishwa kwa mabikira 72. Israel imeamua kwanza kutomgusa Ayatollah ajionee...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi. -------------- In a call with his...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Two F-35 fighter jets landed in Israel Sunday, the army said, bringing the number of fifth-generation stealth aircraft that the military says it has in its arsenal up to 16. The Israel Defense...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Iran inasemekana itatoa kichapo kizito kwa Israel usiku huu. Huu ndo usiku mgumu zaidi unaoenda kushuhudiwa kwa Israel Israel wajiandae kuzingirwa kwa maelfu ya makombora kutoka Iran Huu usiku...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Katika hali ambayo inashangaza sana na kukasirisha. Ni kitendo cha Khayatollah kumpigia simu Trump kuwa awaambie watu wake Mayahudi kuwa sasa wamerudishiana angalau yaishe. Trump anasema...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwene vita Majeruhi wa kwanza wa vita hua ni Ukweli. Mimi technophilic nitafanya kazi ya kuverify Ukweli na Propaganda Unaweza tuma picha au video nikaverify
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wasalam Alleykhum wa rahma tullay wabalaqatuh! Sasa natoa ushauri kitaalam. Naomba muanze kushambulia maeneo nyeti ya Israel kama ambavyo wametufanyizia wao. Tusirushe tu ngumi kama walevi...
3 Reactions
12 Replies
537 Views
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE. Kwa maoni yangu ninaamini Israeli...
23 Reactions
145 Replies
6K Views
Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata...
2 Reactions
4 Replies
461 Views
Iran licha kupigwa na mindege ya Israel kwa awamu nne, 4 waves, ilishindwa kuangusha hata ndege moja, au hata kuzuia makombora, imepigika haswa, sasa Iran ikajibu kwa kutuma drones, zimepigwa zote...
4 Reactions
92 Replies
4K Views
Game inaanza tu. Maafisa wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi wanafyekwa kule iran. Wanasayansi wa maswala nyuklia nao wameliwa vichwa. Putin unatuangusha sana. Kumwacha Zeleskyy kuendelea kuzurura...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel...
2 Reactions
2 Replies
405 Views
Kama hatujui bora tunyamaze ila tutambue kuwa Israel anapata sapoti ya kupita kwenye anga za nchi tofauti na kupiga katika anga la Irani,kama Israel angetumia mabomu ya mbali basi zile system za...
3 Reactions
3 Replies
422 Views
Persians wanajiandaa kuigeuza Israel kifusi. Mzayuni anasubiriwa ajichanganye tu. #TUTAKUWEPO BREAKING: 🇮🇱🇮🇷 Iran is preparing to flatten Israel with thousands of ballistic missiles - New York...
5 Reactions
104 Replies
5K Views
Back
Top Bottom