Makobaz wanazusha kwamba ndege moja ya Israel ilidunguliwa, ifahamike utaalam wa hizi ndege ni wa hali ya juu, yaani radar zenu zinagundua uwepo wa ndege kama tayari ndege imeshapita na kurusha...
Wadau hamjamboni Mwanasayansi mwingine wa nyuklia aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, afisa wa eneo hilo anasema Mwanasayansi mwingine wa nyuklia wa Iran, Ali Mansour Bakouei...
Wachina wana endeshaje nchi yao?
Hili ni swali la kujiuliza inawezekana vipi kujizuia kushiriki moja kwa moja katika migogoro mikubwa na vita za kidunia pamoja na ukubwa ilio nao hapa duniani?
Hii ni tamaduni ya kiarabu kuongoza kwa usaliti na unafki...Ni rahisi sana Baba wa kiarabu kumzalisha mkwe wake...
Ni rahisi sana kuwagombanisha familia za kiarabu kupitia mali...
Ndio maana...
Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake.
Bado anahitaji sana misaada...
Iran wanalenga maeneo ya raia maana makambi ya kijeshi yameshindikana, mpaka sasa hivi wamefaulu kuua raia wanne wa Israel.
Israel imetoa tahadhari wakiendelea hivi basi na yenyewe itaamua kutia...
Iran imezitahadharisha Marekani, Ufaransa na Uingereza kwamba atashambulia kambi zao za kijeshi pamoja na meli zao iwapo zitatoa msaada wowote wa kijeshi kwa Israel.
Donald Trump ametangaza kuwa...
Wadau hamjamboni nyote.
Jeshi la anga la Israel ilishambulia kwa mabomu kituo cha chini cha ardhi cha Iran kilichohifadhi makumi ya makombora magharibi mwa Iran leo...
Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari...
Mabinti wa kiyahudi wamenifanya nifikirie sana
Angalia ile mijeti anakabidhiwa mtoto wa kike kutembea nayo km zaidi ya 2000 + kwenda kushambulia adui na kurudi salama
Ukivicheki vina sura ya...
Kwa nini Ukraine na Iran haziachawi zijiamulia mambo yake wenyewe kama kumiliki silaha za nyuklia na kujiunga na jumuiya zinazoona zina maslahi kwao kama mataifa huru?
Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday,
June 14, 2025
Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’
By...
Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali:
Mapigano na Uharibifu
Mashambulizi ya...
Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
Baada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu...
Kama Pakistan walivyoangusha yale mandege ya mfaransa yaliyokua yanatumiwa na India, Iran wamezitungua F-35 kadhaa na marubani wamewashikilia
Iran becomes first country to shoot down fifth-gen...
saa 2 zilizopita BREAKING NEWS Ndege za kivita za Israel zitaruka hivi karibuni juu ya Tehran, Netanyahu anasema Ndege za kivita za Israel hivi karibuni zitaruka juu ya Tehran na kushambulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.