International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Israel, kazi zingine ni kama gelesha tu Ila chaguo lao namba moja, ni tekenorojia hasa ya uvumbuzi wa siraha na uwezo wa kuzitumia Wamewekeza akili mingi kwenye jambo hilo kuliko kingine chote...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia? Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi...
21 Reactions
202 Replies
9K Views
Wadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Vyombo vya habari vya Israel sasa vinaripoti kuwa ndege zote zisizo na rubani za Iran zilizokuwa zikielekea nchini humo zimenaswa. Home Front Command - ambayo inatoa maonyo ya makazi - inasema...
1 Reactions
8 Replies
248 Views
Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.) Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe. Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
3 Reactions
66 Replies
2K Views
Kwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran. Yaani hata nzi hajafa...
6 Reactions
70 Replies
4K Views
Biblia inamtaja Yerobohamu mwana wa Nebati mara kwa mara kama mfano wa “mfalme aliyefanya dhambi na kuwaongoza Israeli kutenda dhambi” — almost kila mfalme aliyefuata katika ufalme wa kaskazini...
0 Reactions
8 Replies
365 Views
Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
0 Reactions
5 Replies
722 Views
My Take https://www.instagram.com/p/DK0yRz5oIj4/?igsh=MTVlZHp0MWZsdWQwbg==
3 Reactions
4 Replies
336 Views
Dikteta bora Park Chung Hee former South Korea Military General. Rais wa Korea kusini 1963-1979. Dikteta aliye itoa Korea Kusini kwenye matope na umasikini uliotopea kwa mkono wa Chuma. Bintiye...
7 Reactions
23 Replies
965 Views
Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
0 Reactions
2 Replies
277 Views
Katika ajali mbaya ya ndege ya Air India AI171, taarifa za kusikitisha zimeibuka kuhusu Dr. Komi Vyas, ambaye alikuwa abiria katika ndege hiyo pamoja na familia yake. Dr. Komi Vyas, ambaye...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Tangu kuwepo KWA Taifa hilo limekuwa ni taifa la kuonewa sana. Kipindi lilichokaa KWA amani ni wakati wa Mfalme Suleiman tu. Sababu za kufanikiwa kwao ni ukaribu wao na Mungu wao, sababu za...
2 Reactions
5 Replies
347 Views
Imekua dhahiri muda wowote Israel watatembeza kibano kule Iran, na hawa Iran waliokua wanajipiga kifua wameanza kuwa wanyonge, rais wao anasema wataamka tena haitakua mwisho wao. Nasemaje nasemaje...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Yule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini huwa analeta habari hazina uhakika. Kiongozi wa Hamas kule Lebanon...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Mahakama ya Ufaransa imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Joel Le Scouarnec ambaye ni Daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri Kuwanyanyasa kingono wagonjwa na kubaka wagonjwa 229, wengi wao...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kutokana na harakati nyingi za kijeshi zinazoendelea huko Israel kuna uwezekano mkubwa sana Iran ikashambuliwa ndani ya Wiki hii. Kama Israel itafanya hivyo basi itakuwa imewafumba miodom wote...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom