Qur'an imewadharau sana waarabu waliohai

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Miongoni mwa miujiza ya Qur'an na kwamba ni kitabu chenye muongozo kwa wanadamu wote ni kule kutoonewa haya waarabu ambao kitabu hicho kimeteremshwa kwa lugha yao.

Kuonesha kuwa ni maneno ya Allah aliyeumba ulimwengu wote basi hata Mtume Muhammad rehma ziwe juu yake haikumoenea haya wala haikumpa fursa akaingiza lolote la kwake.Mfano maarrufu ni pale siku moja alipokuwa ameshughulika na kuwalingania matajiri na watu maarufu wa Makka ili waingie kwenye Uislamu.Muda huo huo akatokea maskini mmoja ambaye ni kipofu akaomba naye afahamishwe jambo.Mtume akakunja uso kuona anamkera katika muda muhimu wa kuzungumza na watukufu wa Makka.Sura nzima ikashuka kumkemea kwa kitendo chake hicho.Sura hiyo akaendelea kuisoma na alipokufa imebaki hivyo hivyo.
Mwanamke aliyetajwa ni mmbora ni mama yake Yesu as na wala mama yake mwenyewe wala mtoto wake wa kike kipenzi wala mke wake yeyote yule.
Qur'an kujulisha kuwa ni ya watu wote ina matamko mengi sana yanayowaita ENYI WATU kwa ajili ya wachina ,wajapani,wahindi na wote wengine ambao hawajinasibishi na vitabu kutoka kwa Allah.

Vile vile kwa ajili ya kuwaita kwenye uislamu ina matamko yanayowaita wakristo na mayahudi kuachana na upotovu na kufuata mafundisho ambayo yameboreshwa yaliyo kwenye uislamu.Matamko hayo ni kama vile ENYI WATU WA KITABU!

Upande wa waarabu wale waliokuwa kabla ya Mtume saw na wale alioishi nao hawakuachwa kutajwa kwa maovu waliyokuwa wakiyatenda.yote hayo ni kuonesha Qur'an ni kwa ajili ya muongozo kwa wote.

Waarabu walio hai miaka hii nao wamepewa vidonge vyao kwenye aya nyingi za Qur'an,baadhi yake ni kwenye surat Towba.Tuone aya mbili tu kati ya hizo, ya 19 na 20

أَجَعَلْتُمْ سِقَايَةَ الْحَاجِّ وَعِمَارَةَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ كَمَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَجَاهَدَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ ۚ لَا يَسْتَوُونَ عِندَ اللَّهِ ۗ وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ

١٩﴾‏ الَّذِينَ آمَنُوا وَهَاجَرُوا وَجَاهَدُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ بِأَمْوَالِهِمْ وَأَنفُسِهِمْ أَعْظَمُ دَرَجَةً عِندَ اللَّهِ ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَائِزُونَ ‎﴿
Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti Mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na akapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.19
Wale walio amini, na wakahama, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na hao ndio wenye kufuzu.20

Wanaodharauliwa hapo ni wale ambao wanaujenga msikiti wa Makka (Alkaaba) na kuuwekea teknolojia za kisasa kila mwaka na kuwakirimu vya kutosha mahujaji.Wanawapa maji ya zam zam mpaka mengine wanabeba makwao.Baada ya hapo wanaamini ndio wamemaliza ibada na kutenda wema katika dunia na wanabweteka kusubiri msimu ujao..

Wanaodharaulika ni wale ambao wanaojaza malori eneo la Rafah na wakawacha bidhaa ziharibike huku wanaohitaji na wanaokufa kwa njaa wapo mita chache tu kutoka hapo,

Wakudharauliwa na walimwengu wote ni wale wanaonunua silaha na kuzinduka kwenye maghala bila kuzitumia kupigana na yule anayeuwa ndugu zao masafa mafupi tu kuliko wanapoishi.Hao hao ambao wanatoa zawadi ya ndege na mapesa kwa yule anayeongoza kuua ndugu zao wa kiimani.

Nini maana ya "kuwalingania"??
 
MBS ndiyo mwarabu bora sana. Mtu kama wewe ukienda Saudia anakukata kichwa Ijumaa kweupe baada ya swala Jumaah
 
Moja ya product nzuri ya Kanisa Katoliki ni kuanzisha dini ya kiislamu. Bonge moja la kazi lilifanyika.
Paulo aliye ota yuko chini ya mkunazi hamjui hata Yesu mara nimesikia sauti yake mara niliona giza huyu ndio alete Uislam, hivi we uko sawa ikiwa ukristo kashindwa kuelezea alivyo uanzisha aje na dini ya Kislam juhahaha
 
Miongoni mwa miujiza ya Qur'an na kwamba ni kitabu chenye muongozo kwa wanadamu wote ni kule kutoonewa haya waarabu ambao kitabu hicho kimeteremshwa kwa lugha yao.

Kuonesha kuwa ni maneno ya Allah aliyeumba ulimwengu wote basi hata Mtume Muhammad rehma ziwe juu yake haikumoenea haya wala haikumpa fursa akaingiza lolote la kwake.Mfano maarrufu ni pale siku moja alipokuwa ameshughulika na kuwalingania matajiri na watu maarufu wa Makka ili waingie kwenye Uislamu.Muda huo huo akatokea maskini mmoja ambaye ni kipofu akaomba naye afahamishwe jambo.Mtume akakunja uso kuona anamkera katika muda muhimu wa kuzungumza na watukufu wa Makka.Sura nzima ikashuka kumkemea kwa kitendo chake hicho.Sura hiyo akaendelea kuisoma na alipokufa imebaki hivyo hivyo.
Mwanamke aliyetajwa ni mmbora ni mama yake Yesu as na wala mama yake mwenyewe wala mtoto wake wa kike kipenzi wala mke wake yeyote yule.
Qur'an kujulisha kuwa ni ya watu wote ina matamko mengi sana yanayowaita ENYI WATU kwa ajili ya wachina ,wajapani,wahindi na wote wengine ambao hawajinasibishi na vitabu kutoka kwa Allah.

Vile vile kwa ajili ya kuwaita kwenye uislamu ina matamko yanayowaita wakristo na mayahudi kuachana na upotovu na kufuata mafundisho ambayo yameboreshwa yaliyo kwenye uislamu.Matamko hayo ni kama vile ENYI WATU WA KITABU!

Upande wa waarabu wale waliokuwa kabla ya Mtume saw na wale alioishi nao hawakuachwa kutajwa kwa maovu waliyokuwa wakiyatenda.yote hayo ni kuonesha Qur'an ni kwa ajili ya muongozo kwa wote.

Waarabu walio hai miaka hii nao wamepewa vidonge vyao kwenye aya nyingi za Qur'an,baadhi yake ni kwenye surat Towba.Tuone aya mbili tu kati ya hizo, ya 19 na 20

أَجَعَلْتُمْ سِقَايَةَ الْحَاجِّ وَعِمَارَةَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ كَمَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَجَاهَدَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ ۚ لَا يَسْتَوُونَ عِندَ اللَّهِ ۗ وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ

١٩﴾‏ الَّذِينَ آمَنُوا وَهَاجَرُوا وَجَاهَدُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ بِأَمْوَالِهِمْ وَأَنفُسِهِمْ أَعْظَمُ دَرَجَةً عِندَ اللَّهِ ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَائِزُونَ ‎﴿
Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti Mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na akapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.19
Wale walio amini, na wakahama, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na hao ndio wenye kufuzu.20

Wanaodharauliwa hapo ni wale ambao wanaujenga msikiti wa Makka (Alkaaba) na kuuwekea teknolojia za kisasa kila mwaka na kuwakirimu vya kutosha mahujaji.Wanawapa maji ya zam zam mpaka mengine wanabeba makwao.Baada ya hapo wanaamini ndio wamemaliza ibada na kutenda wema katika dunia na wanabweteka kusubiri msimu ujao..

Wanaodharaulika ni wale ambao wanaojaza malori eneo la Rafah na wakawacha bidhaa ziharibike huku wanaohitaji na wanaokufa kwa njaa wapo mita chache tu kutoka hapo,

Wakudharauliwa na walimwengu wote ni wale wanaonunua silaha na kuzinduka kwenye maghala bila kuzitumia kupigana na yule anayeuwa ndugu zao masafa mafupi tu kuliko wanapoishi.Hao hao ambao wanatoa zawadi ya ndege na mapesa kwa yule anayeongoza kuua ndugu zao wa kiimani.
Hiv unajua zilikuwepo Qur'an tano. Mpaka agizo lilipotoka nyingine ziteketezwe ibaki moja
 
Laiti ungejua namna uislamu ulivyo ui- outsmart ukristo...
Imagine kama si uislamu ukristo uilishawadannganya watu kubwa YESU ni Mungu...
Kuna miungu 3
Mungu hayupo kwa namna ya dini zote
 
Pinga kwa hoja kama mtu mwenye akili timamu
Hao wakanisa walisha potezwa na champion wa uongo Paulo alivyo ulizwa vipi ulikutana na Yesu

Matendo ya Mitume: 22:6-12 Utakapofika aya ya 9 hapo kuna utata inasema hivi:

6 Ikawa nilipokuwa nikisafiri, nikikaribia Dameski , wakati wa adhuhuri, ghafla nuru kuu ilitoka mbinguni, ikanimulikia pande zote. 7 Nikaanguka nchi, nikasikia sauti ikiniambia, Sauli, Sauli, mbona unaniudhi? 8 Nikajibu, Wewe u nani, Bwana? Akaniambia, Mimi ni Yesu Mnazareti, ambaye wewe unaniudhi.
9 Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami. 10 Nikasema, Nifanye nini, Bwana? Bwana akaniambia, Simama, uingie Dameski, na huko utaambiwa habari za mambo yote yaliyoamriwa uyafanye. 11 Na nilipokuwa sioni kwa sababu ya fahari ya nuru ile, nikaongozwa na mikono yao waliokuwa pamoja nami, nikaingia Dameski.

Hebu tazameni hapo walio kuwa naye hawakusikia sauti mara akawa kipofu ndio akawapoteza wakristo mpa leo hawajui wanaenda wapi.
 
Kwenye uislam na ukristo vyote ni maandishi tu ili kusimamia imani ,Thibitisha vya kwako ni ukweli na vimetoka kwa Mungu ambae ukishakiri utapaswa uthibitushe hapa
 
Back
Top Bottom