International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini Chama cha Wafanyakazi wa...
1 Reactions
5 Replies
496 Views
Vituo kadhaa vya habari vya Gaza vinaitukuza video hii kuanzia leo. Inaonyesha magaidi huko Gaza wakiwanyonga watu wao wenyewe, bila kesi, hadharani. Huu ni utamaduni wa aina gani? Ni nani...
4 Reactions
10 Replies
586 Views
Mwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha. Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi...
0 Reactions
15 Replies
982 Views
Washukiwa watano wamekamtwa kuhusiana na kutoweka kwa mwandishi wa habari Aserie Ndlovu na mpenzi wake Zodwa Mdhluli wanatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu wa KwaMhlanga huko...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Juzi tulishuhudia India ikitembeza kichapo ndani ya Pakistan ambapo Pakistan waliapa kulipiza, Sasa leo wametuma makombora kuelekea India. Chanzo cha hii yote ni kwamba Pakistan wamekua wakilea...
8 Reactions
70 Replies
5K Views
Makamo wa raisi wa Marekani JD Vance amesema walipata taarifa za kientelijensia za kutisha na ndipo juhudi kubwa zikafanyika kusitisha vita kwa kumpigia waziri mkuu wa India,Neranda Modi haraka...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mzuqa Yani huyu bwana mdogo hatari sana. Umri mdogo tu 32 anawapelekesha watu vibaya sana. Ni yeye ndie alilazimisha waziri wa mambo ya nje Marekani Rex Tillerson kufukuzwa kazi na Trump. Hii...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Hamas wamekubaliana na marekani kumuachia raia pacha wa israel na marekani hapo kesho,baada ya mazungumzo ya Hamas na marekani Marekani hivi karibuni imekua ikiingia makubaliano na makundi hasimu...
2 Reactions
4 Replies
399 Views
Serikali ya kijeshi ya nchini MALI imetangaza kusitishwa kwa shuguli zote za vyama vya kisiasa nchini humo hadi hapo itakapotangazwa tena. Tangazo hilo limetolewa tarehe 7 May 2025 kupitia...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? IDF na Mossad wameupata mwili wa Sgt. Daraja la Kwanza Zvi Feldman, ambaye hajapatikana tangu Vita vya Kwanza vya Lebanon vya 1982 vya Sultan Yacoub, Waziri Mkuu Benjamin...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya magaidi wa Hamas kuonekana wakijikusanya kwa wingi katika jengo moja huko Khan younis majeshi ya Israel yaliamua kulishambulia kwa bomu jengo hilo na kuangamiza kila kitu ki licho kuweto...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Wahouthi huko Yemen wametangaza mkakati wa kulifunga anga la israel kwa kupiga viwanja vya ndege Kwa ile shughuli iliyofanywa leo ben gurion, sidhani kama kuna ndege itaeanda israel Shirika la...
9 Reactions
91 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo Syrian minister says Qatar to provide $29 million a month for salary payments By Reuters Qatar is set to provide Syria with $29...
2 Reactions
17 Replies
671 Views
https://www.instagram.com/p/DJb7VKly4tE/?igsh=MTdyMjI3eTRiaHlxag== My Take Kiwango hicho Cha ugunduzi kitaifanya Somalia kuwa mzalishaji namba 3 wa Mafuta Afrika nyuma ya Nigeria na Libya...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kumbe Rais Wa Burkina Faso Ibrahim Traore tabia ya kufanya mbwembwe za kuweka Silaha Kiunoni ikiwa nje nje pamoja na kusalimia watu na viongozi mbalimbali kwa kuwapa Tano...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Makamu wa Rais wa Ufilipino, Sara Duterte, ameondolewa madarakani kwa tuhuma kadhaa, zikiwemo kupanga kumuua Rais wa nchi hiyo, ufisadi wa kiwango kikubwa, na kushindwa kulaani vikali hatua za...
2 Reactions
7 Replies
772 Views
Pakistani wapo milioni 247 wakati India wapo zaidi ya milioni 1400 (bilioni 1.4) hivi lakini Pakistan wameweza kumshughulikia India ipasavyo Hili nawaambiaga humu hata Rwanda hatupaswi...
14 Reactions
49 Replies
3K Views
✓✓✓New details on the million-dollar theft✓✓✓✓✓ In the recent history of the small town of West Haven, two major events have unfolded. The first was the theft of one million dollars, committed...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
HUYU NDIYE PAPA MPYA. Robert Francis Prevost, aliyezaliwa tarehe 14 Septemba 1955 mjini Chicago, Marekani, ni Papa mpya wa Kanisa Katoliki, Anachukua jina la Papa Leo wa XIV. Kuchaguliwa kwake...
20 Reactions
82 Replies
6K Views
Kuna habari kuwa baadhi ya wanajeshi walioasi nchini Guinea walifanya jaribio la kutaka kumuua kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo Capteni Mousa Didas Kamara. Habari zinasema kuwa mlinzi wa Capteni...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Back
Top Bottom