International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Walikuwa wanakataa sa wameanza kukubali leo wamekiri kuna ndege yao imeangushwa https://youtu.be/4R3XpS3og1c?si=MFyCN2dqy7l9qucJ
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi. Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila...
13 Reactions
138 Replies
8K Views
Israel imemuaa Jenerali Ali Shademani yaani Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuuawa na Israel. Jenerali Ali ametumikia...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Moja ya maeneo nyeti ya Israel yaliyopigwa usiku wa kuamkia leo huko Israel ni pamoja na kituo kikuu cha kusafishia mafuta kwenye mji wa bandari wa Haifa. shambulio hilo lilifuatia baada ya kituo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni tangu vita vianze hajaonekana adhalani ila leo kaonekana kanena maneno kadhaa Kwanza kasema Iran haitasurrender kwa Israel, adai anapambania haki na uhuru, hii ni baada ya Marekani na Israel...
3 Reactions
17 Replies
804 Views
Kama taifa au kikundi cha watu hawana mpango au njama za kuidhuru na kuingamiza Israel kama taifa na raia wake basi yenyewe inakuwa haina mpango wa kushughulika na hiyo nchi au kikundi cha watu...
1 Reactions
2 Replies
286 Views
Mgogoro kati ya Iran na Israel umeingia katika hatua mpya ya hatari na ya moja kwa moja. Tangu Ijumaa tarehe 13 Juni 2025, mataifa haya mawili ambayo kwa muda mrefu yamekuwa kwenye mivutano ya...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
https://youtu.be/gN12y0uq2Ds?si=RrGmQarChpzzlfmu
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Habari nimepitia thread kadhaa nimeona wadau wengi wantatizwa kwanini urusi mpaka sasa hajachukua action zinazoonekana za kumsaidia iran katika vita yake na izrael,na wengine wameeda mbali na...
5 Reactions
9 Replies
991 Views
Benjamin Netanyahu amekuwa akizungumzia mambo ya silaha za maangamizi makubwa pamoja na kubadilisha tawala za nchi kwa miaka takriban 30 sasa. Mwaka 2002 akitoa ushuhuda kuhusu silaha za...
5 Reactions
14 Replies
724 Views
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa...
10 Reactions
87 Replies
5K Views
Hadi imefikia hatua Israel inatuma watoto wa kike kuishughulikia Iran ni dharau kubwa sana hii. Lingekuwa ni balaa zito mno wangetumwa wale wazee wa kazi walionyakua helikopta ya Rais wa Iran...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira.... Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
🚨🇮🇷🇮🇱 Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi...
14 Reactions
62 Replies
4K Views
Padri Thomas Nahimana, kiongozi wa chama cha upinzani Nchini Rwanda cha ISHEMA, amekuwa mstari wa mbele kusambaza uvumi kuhusu Rais Paul Kagame. “Nilikuwa na vyanzo vya kuaminika…” Nahimana...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga.... Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian...
9 Reactions
30 Replies
4K Views
Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
7 Reactions
185 Replies
6K Views
Haya mataifa yote yenye rangi ya kijani ni ya kiislamu, wote wana chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo ilianza tangu enzi za Mohammad ambaye aliwahi kusababisha mauaji kwa Wayahudi na hata kuuza watoto...
4 Reactions
10 Replies
626 Views
Ni kwa mujibu wa JERUSALEM POST, Taarifa ya 17/06/2025 1903 hrs Easy African time. Kama mpango wa kumuua Ayatollah ulivyo tayari, ndivyo pia mpango wa kulipua kituo kikubwa Cha kurutunusha...
10 Reactions
51 Replies
2K Views
Kama ulikuwa hufahamu sio kosa kwa China kuonekana mbele mbele kwa vita zisizo muhusu hasizo na ushirika nazo. Tusubiri siku North Korea ikivamiwa kama 1950-1953. China currently has a defense...
0 Reactions
15 Replies
883 Views
Back
Top Bottom