International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana "kufikia makubaliano" ya kusitisha mapigano lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji "kupigana"...
0 Reactions
5 Replies
527 Views
Tarehe 7 June 1981 Israel ilifanya mashambulizi katika vinu vya nuclear huko Iraq,hii ilikuwa ni shambulizi la ghafla katika mradi huo chini ya Sadam Hussein, hii ilijulikana kama operation opera...
13 Reactions
83 Replies
14K Views
Vita kati ya Israel na Iran sasa si tena mivutano ya chini kwa chini. Ni vita ya moja kwa moja, yenye mashambulizi ya makombora, drones, na mashambulizi ya anga yanayoathiri raia na miundombinu...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza. King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
7 Reactions
74 Replies
6K Views
Bendera za nchi zote za Jumuiya ya Madola Tanzania ikiwemo zitapeperushwa Kwenye Gwaride rasmi Swali ni je Marais wa Africa watapewa au wameandaliwa usafiri gani? Juzikati Rais Ruto alilalamika...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel ameonya kuwa wakazi wa Tehran "watalipia gharama" ya mashambulizi ya Iran dhidi ya raia wa Israel baada ya mashambulizi ya usiku kusababisha vifo vya watu watano na...
0 Reactions
2 Replies
379 Views
Operesheni ya Israeli ya kushambulia mpango wa nyuklia wa Iran imekuwa tayari kwa miaka mingi sasa Kinachohitajika sasa ni kuidhinishwa tu. Lakini hapa ndio watu wengi hawajui: Wakati Israeli...
6 Reactions
131 Replies
5K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amekataa mpango wa Israel wa kumuua Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, maafisa watatu wa Marekani wameambia mshirika wa BBC wa Marekani CBS News. Trump...
0 Reactions
4 Replies
426 Views
Shekeli ya Israel imepanda kwa kasi leo, huku soko la hisa na hati fungani likionyesha ongezeko, wakati wawekezaji wakianza kutathmini mazingira mapya ya hatari ya muda mrefu kwa mali za Israel...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
KWANINI VIONGOZI WA IRAN WANAUWAWA NA ISRAEL. Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Monday -16/06/2025 Marangu Kilimanjaro Tanzania. Pengine hili ndio swali la msingi la kujiuliza, toka mwaka 2023...
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameieleza ABC News kuwa kumuua Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, “hakuwezi kuchochea mzozo zaidi, bali kutamaliza kabisa mzozo huo.”...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote 30 minutes ago Iran has not used its advanced weapons against Israel yet - IRGC outlet "The Islamic Republic has not yet used its advanced and strategic weapons in its...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU, KRISTO MFALME WA WAFALME Polen na majukumu ya kazi na hongeren kwa siku nzuri siku ya Dominika takatifu ya utatu mtakatifu yaan BABA, MWANA...
12 Reactions
83 Replies
4K Views
Kwa kipindi cha miaka 77 Israel imegundua na kutengeneza vifaa hivyo hapo chini kwa madhumni ya kujilinda. Don’t mess with IDF!!
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Tumeona kwa miaka mingi Iran akiwekeza heavily kwenye misile technology na drone technology sababu ndoto yake ni kuja kuvurumusha makomora yenye vichwa vya nyuklia tel aviv na Jerusalem, ila...
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Nchi kubwa yenye nguvu za kijeshi, kisiasa, kiuchumi kama China ikiwa imekaa kimya Dunia inapokuwa inaingia katika vurugu ambazo zimesababishwa na viongozi irresponsible kama Netanyahu na inakaa...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Mod usifute huu uzu. Sijapendelea upande wowote ila nimesema ukweli. Nimefuatilia kwa karibu huu mzozo lakini nimegundua kitu cha tofauti. Iran inatuma utitiri wa mabomu ilimurani yepenye na...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya...
19 Reactions
109 Replies
6K Views
Shirika la Ndege la India (Air India) limesema ndege yake namba AI315 imelazimika kurejea jijini Hong Kong baada ya kukutana na changamoto ya hali ya hewa isiyo rafiki. Shirika la Habari la...
0 Reactions
8 Replies
789 Views
Back
Top Bottom