International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Niwatakie usiku mwema kazi ya today imeisha, kesho kesho nayo ni siku, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, June 15, 2025 IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC...
1 Reactions
6 Replies
746 Views
Kwa kweli inaumiza sana. Tukiangalia Gaza na Palestine. Kumevurugwa hasa...siyo kipole pole. Amevuruga Hamas na amewatandika Hizbullah kiasi cha kutia aibu. Inaniuma sina raha. Nliposikia ana umwa...
16 Reactions
25 Replies
1K Views
Nasemaje nasemaje Israel msisklize nyau yeyote na kama mkiacha kupiga kisa mumeskliza yeyote anayetumwa hakika sitawasamehe, naacha ushabiki wangu na kutamani mpigwe tu, hii ngoma ilikua imekaa...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Maandalizi ya shambulio la Israel dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran yanasemekana yanakaribia kukamilika, huku hatua za mwisho, ikiwa ni pamoja na upelekaji wa silaha na mipango ya uendeshaji...
2 Reactions
15 Replies
872 Views
Wadau hamjamboni nyote. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo. 21min ago Iranian reports: Foreign ministry building in Tehran damaged in Israeli airstrike Iran’s semi-official Mehr News...
0 Reactions
2 Replies
539 Views
Wadau hamjamboni u. 6 minutes ago Iranian missile attack hits synagogue in southern Israel - Channel 12 Israel's Channel 12 has released a video that purportedly shows a synagogue in...
1 Reactions
8 Replies
695 Views
Rais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. "Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema...
0 Reactions
14 Replies
896 Views
Wadau hamjamboni nyo. te, Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena , Emanuel Fabian Fuata Leo, saa 8:55...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Ukraine imerejesha nyumbani miili mingine 1,200 iliyokabidhiwa na Urusi, hatua mpya katika makubaliano yaliyofikiwa wakati wa mazungumzo ya hivi majuzi kati ya pande zinazozozana mjini Istanbul...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Better late than never... Happy birthday to you, President Donald J. Trump! As Philippians 4:8 reminds us, “Whatever is true, whatever is noble, whatever is right, whatever is pure, whatever is...
2 Reactions
9 Replies
721 Views
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran. Jeshi linasema maeneo lengwa...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua...
7 Reactions
114 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu...
1 Reactions
5 Replies
476 Views
Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa muda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba, kila nchi pale Mashariki ya kati...
0 Reactions
9 Replies
602 Views
Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na...
10 Reactions
65 Replies
4K Views
Baada ya mabinti kutumwa kwenda kutia vidole vifinyio vya Irani. Wanasema wanataka waende tena kabla hawajawaachia wanaume kwenda malizia, kufika kileleni. Israel imefanikiwa kabisa katika...
1 Reactions
2 Replies
488 Views
Baada ya Marekani kuanza kusogeza madude kuelekea karibu na Iran, haya Uingereza nao pia wameanza maandalizi, makobaz mumeonywa siku nyingi muache ugaidi, muishi kwa amani na dunia ila mlishipaza...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Jana Israel ilijidanganya kuwa imepiga na kumaliza ulinzi wa anga wa Iran na kwa hivyo inaweza kufanya lolote. Kumbe hilo lilikuwa uongo, ni mchezo ambao Iran iliucheza ili kuiingiza mkenge kwa...
26 Reactions
93 Replies
5K Views
Jesus was an Arab so where his apostles, except for Paul (he was Turkish). Ndio ujue hata historia ya dini wengi humu hamjasoma. Old testimony ni Arab Tales. Do your research and argue. We...
1 Reactions
26 Replies
947 Views
Back
Top Bottom