International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka Iran irudi haraka kwenye meza ya mazungumzo na kusaini makubaliano ya kusitisha mpango wa nyuklia kabla haijapoteza kila kitu. Rais Trump ameandika hayo...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vimetoa onyo la dharura kwa Wairani, na kuwaambia wakaazi kuondoka katika eneo lililo karibu na vituo vya kijeshi. Katika ujumbe kwenye mtandao wa X, akaunti ya IDF...
0 Reactions
8 Replies
599 Views
Israeli HAIJAWAHI kuanzisha vita—na wala HAIJAWAHI kushindwa vita hata moja. 🇮🇱
2 Reactions
6 Replies
409 Views
🇮🇱 Uwezo wa Jeshi na Ujasusi wa Israel: Sababu ya Mafanikio Dhidi ya Iran kwa Haraka Iwapo Israel ingeweza kuangamiza uongozi wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia ndani ya masaa machache...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Jeshi la iran kwa mujibu wao limefungulia mlango wa kuzimu jana Kwa kurusha drones za kubahatisha yaani iue yoyote Kwa maskitiko imeua watu watatu wasio na hatia Je hili jesh tofauti yao...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Niwatakie usiku mwema kazi ya today imeisha, kesho kesho nayo ni siku, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, June 15, 2025 IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC...
1 Reactions
6 Replies
746 Views
Kwa kweli inaumiza sana. Tukiangalia Gaza na Palestine. Kumevurugwa hasa...siyo kipole pole. Amevuruga Hamas na amewatandika Hizbullah kiasi cha kutia aibu. Inaniuma sina raha. Nliposikia ana umwa...
16 Reactions
25 Replies
1K Views
Nasemaje nasemaje Israel msisklize nyau yeyote na kama mkiacha kupiga kisa mumeskliza yeyote anayetumwa hakika sitawasamehe, naacha ushabiki wangu na kutamani mpigwe tu, hii ngoma ilikua imekaa...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Maandalizi ya shambulio la Israel dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran yanasemekana yanakaribia kukamilika, huku hatua za mwisho, ikiwa ni pamoja na upelekaji wa silaha na mipango ya uendeshaji...
2 Reactions
15 Replies
872 Views
Wadau hamjamboni nyote. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo. 21min ago Iranian reports: Foreign ministry building in Tehran damaged in Israeli airstrike Iran’s semi-official Mehr News...
0 Reactions
2 Replies
539 Views
Wadau hamjamboni u. 6 minutes ago Iranian missile attack hits synagogue in southern Israel - Channel 12 Israel's Channel 12 has released a video that purportedly shows a synagogue in...
1 Reactions
8 Replies
695 Views
Rais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. "Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema...
0 Reactions
14 Replies
896 Views
Wadau hamjamboni nyo. te, Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena , Emanuel Fabian Fuata Leo, saa 8:55...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Ukraine imerejesha nyumbani miili mingine 1,200 iliyokabidhiwa na Urusi, hatua mpya katika makubaliano yaliyofikiwa wakati wa mazungumzo ya hivi majuzi kati ya pande zinazozozana mjini Istanbul...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Better late than never... Happy birthday to you, President Donald J. Trump! As Philippians 4:8 reminds us, “Whatever is true, whatever is noble, whatever is right, whatever is pure, whatever is...
2 Reactions
9 Replies
721 Views
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran. Jeshi linasema maeneo lengwa...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua...
7 Reactions
114 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu...
1 Reactions
5 Replies
476 Views
Back
Top Bottom