Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kwamba Iran ina “haki ya halali, ya kiasili na ya kisheria” ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya malengo ya kijeshi...
Ukiwasikiliza vizuri Donald Trump na Benjamin Netanyahu, kuna mchezo unafanyika ili kuiahadaa dunia na Iran. Netanyahu anasema lazima aangushe utawala wa kiimla wa Iran. Trump anasema amemzuia...
Naaandika kwa Uchungu na machozi
Kipindi cha mazungumzo ya nyuklia na Marekan. Mrusi alileta air defence nyingi sana. Kama zawadi ya kupewa drone za shaheed.
Na wakaingia mkataba wa urafiki...
Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu.....
IAF strikes Tehran's Internal Security HQ
ByJERUSALEM POST STAFF
Israel Air Force jets destroyed...
Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?
Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?
Yaani mimi...
Hapo juzi, Iran ilijibu kwa kishindo dhidi ya Israel kwa kuvurumisha mamia ya makombora, Baadhi ya makombora hayo yaliweza kupenya ulinzi wa anga wa Israel, yakianguka kwenye majengo, kusababisha...
Rais wa Marekani Donald Trump amekataa kusema iwapo atauamuru mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, licha ya kutoa kauli hapo jana zilizoashiria kuwa anaelekea kufanya hivyo.
“Naweza...
Nasikia Iran ina majeshi makubwa mawili. Jeshi la kawaida na jeshi tiifu kwa Ayatollah. Uelewano kati ya majeshi haya ukoje?
Maana ni kawaida majeshi kuwa na mabifu. Jeshi gani lina nguvu zaidi...
Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi.
Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila...
Israel imemuaa Jenerali Ali Shademani yaani Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuuawa na Israel.
Jenerali Ali ametumikia...
Moja ya maeneo nyeti ya Israel yaliyopigwa usiku wa kuamkia leo huko Israel ni pamoja na kituo kikuu cha kusafishia mafuta kwenye mji wa bandari wa Haifa.
shambulio hilo lilifuatia baada ya kituo...
Ni tangu vita vianze hajaonekana adhalani ila leo kaonekana kanena maneno kadhaa
Kwanza kasema Iran haitasurrender kwa Israel, adai anapambania haki na uhuru, hii ni baada ya Marekani na Israel...
Kama taifa au kikundi cha watu hawana mpango au njama za kuidhuru na kuingamiza Israel kama taifa na raia wake basi yenyewe inakuwa haina mpango wa kushughulika na hiyo nchi au kikundi cha watu...
Mgogoro kati ya Iran na Israel umeingia katika hatua mpya ya hatari na ya moja kwa moja. Tangu Ijumaa tarehe 13 Juni 2025, mataifa haya mawili ambayo kwa muda mrefu yamekuwa kwenye mivutano ya...
Habari nimepitia thread kadhaa nimeona wadau wengi wantatizwa kwanini urusi mpaka sasa hajachukua action zinazoonekana za kumsaidia iran katika vita yake na izrael,na wengine wameeda mbali na...
Benjamin Netanyahu amekuwa akizungumzia mambo ya silaha za maangamizi makubwa pamoja na kubadilisha tawala za nchi kwa miaka takriban 30 sasa.
Mwaka 2002 akitoa ushuhuda kuhusu silaha za...
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah.
Mashah wawili wa...
Hadi imefikia hatua Israel inatuma watoto wa kike kuishughulikia Iran ni dharau kubwa sana hii.
Lingekuwa ni balaa zito mno wangetumwa wale wazee wa kazi walionyakua helikopta ya Rais wa Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.