International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Watu zaidi ya 300 jijini Tel Avv huenda waliangamia au kupata athari mbaya kufuatia mashambulizi ya Iran hapo juzi kuamkia jana. Wale walionusurika wakati wakihojiwa waliweka wazi kuwa wamekosa...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Maelfu ya raia wa Israel na wale wa kigeni ambao wamjaa hofu na wanaotaka kuondoka eneo hilo la vita wameambiwa wataruhusiwa kufanya hivyo siku ya Jumatatu Kwa upande wao waandishi wa habari...
2 Reactions
5 Replies
430 Views
Australia yafunga ubalozi Tehran yawaambia maafisa na wategemezi wao kuondoka Iran na imesitisha shughuli zake za ubalozi wa Tehran, Australia imefunga ubalozi wake wa Tehran na kuamuru...
0 Reactions
3 Replies
429 Views
Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa...
0 Reactions
2 Replies
301 Views
Leo US katuma special envoy Lebanon anaomba Hezbullah wasingie kwenye vita ikiwa yeye ataingia kumsaidia Israel. Vichekesho kweli ukiwa mkanisa unakuwa kama hazikutoshi vile we uingie kumsaidia...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa). 2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi...
23 Reactions
99 Replies
4K Views
Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana, Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa...
23 Reactions
94 Replies
6K Views
Siyo siri, Israel ilishaanza kujisahau, ilidhani yenyewe ni superpower tayari, kumbe ni ka entity fulani ambako survival yake hapo middle east inategemea kulindwa, kukingiwa kifua, kupetiwapetwa...
26 Reactions
32 Replies
3K Views
Iran jana kamtembezea kichapo Israel hakijawahi kutokea maisha yake na kawafikishia message US kabla ya Israel hakuna cha Red Line kwenye vita hi. Israel alizowea kupiga Hospital kule Gaza na...
8 Reactions
66 Replies
4K Views
Habarini za Wakati Huu Ndugu wanajamvi. Nimekua nikifuatilia vita ambavyo vimekua vikiendelea toka nikiwa mdg huko nikiwa sifahamu lolote hadi nimekua mtu mzima nafuatilia kwa ukaribu sana...
8 Reactions
132 Replies
3K Views
Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Thursday, June 19, 2025 Israel expecting US decision on joining Iran strikes in 24-48 hours, says official By Lazar Berman Follow...
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Myahudi amechafukwa, mpaka sasa ngoma inazidi kuwa moto, Iran wamefaulu kuua mtu mmoja Israel ila wao wanaendelea kupoteza, wamepigwa makambi ya kijeshi, viwanja vya ndege, na miundo mbinu mingine...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Khamenei ahamisha mamlaka kwa kamanda mkuu wa IRGC Iran kuwa Kiongozi Mkuu Ali Khamenei amekabidhi madaraka muhimu kwa Baraza Kuu la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC), huku kukiwa na kutokuwepo kwa...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa ====== Trump: US could kill...
3 Reactions
63 Replies
3K Views
Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China. Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Picha: Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama alipitishwa na Chama kikuu cha upinzani nchini Ghana National Democratic Congress, kuwa mgombea wake mwaka 2024...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom