International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Marekani yatarajia kukishambulia kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow ndani ya siku chache, maafisa wa Israel waliiambia Axios, wakati rais wa Marekani anapima hatua za kijeshi katika mkutano wa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa sasa ana miaka 88. Bodo yupo serekalini kama naibu waziri mkuu huko Uganda Aliwahi kuwa Mwanajeshi. Ni mwanasheria kitaalam na mwanasiasa. Kwa sasa anaonekana kabisa ana shida kubwa ya kiafya...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman Leo...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
The International Monetary Fund (IMF) ranks Kenya as a middle-income country, while Tanzania is considered a low-income country In 2025, the Bretton Woods institution projects Kenya's economy...
5 Reactions
112 Replies
6K Views
Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Kuna watu wanaweza kufikiria vita ni maamuzi ya mwisho kutuma bomu la nyuklia. Mpaka unapeleka ilo bomu ni kwamba umefikia maamuzi kuwa idadi ya vifaa vya kupigania vita vimekwisha. Mfano urusi...
1 Reactions
8 Replies
492 Views
Kabla ya Trump kuingia madarakani awamu ya kwanza, Obama alikuwa amefanikisha kupatikana kwa makubaliano ya udhibiti wa nuclear Iran yaliyojulikana kama Joint Comprehensive Plan of Action(JCPOA)...
1 Reactions
9 Replies
588 Views
Kama kuna makosa ya Kidiplomasia ambayo Kagame amewahi kuyafanya basi kosa kubwa zaidi ni kitendo cha kutangaza kuvunja uhusiano wa Kidiplomasia na Belgium sasa. Huo ni mtego ambao ametengenezewa...
26 Reactions
36 Replies
4K Views
Taasisi ya sayansi inayoshirikiana na Jeshi ambalo pia ina mafungamano na shirika la ujasusi la Mossad Weizzman institute of science ambayo imejikita kwenye utafiti ,utengenezaji wa silaha...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Guinea‑Bissau, Umaro Sissoco Embaló, ametoa tamko kuhusu mvutano kati ya Iran na Israel jana tarehe 16 Juni 2025: Rais Embaló amewataka viongozi wa Iran na Israel Benjamin Netanyahu na...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Kiongozi mkuu wa Iran the supreme leader Ayatollah huenda ni Mossad Tena double agent aliyekubuhu. Simuamini Kabisa tangu Yule general Suleiman kuuliwa Iraq, Rais wao Ebrahim Raisi afe kwenye...
7 Reactions
17 Replies
958 Views
Iran News Network, ambao ni sehemu ya kituo cha televisheni cha taifa cha Iran, imesema kuwa imeshambuliwa na Israel, kulingana na ripoti za Reuters. Hii inafuatia vitisho vya awali kutoka kwa...
0 Reactions
2 Replies
497 Views
Tarehe 31 Julai 2024, Ismail Haniyeh, kiongozi wa kisiasa wa Hamas, aliuawa kwa mlipuko wa bomu katika chumba chake cha kulala akiwa pamoja na mlinzi wake ndani ya jengo la kifahari la Neshat...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema "tuko njiani kupata ushindi". Akitembelea kambi ya anga ya Israel, alirejelea madai ambayo tumesikia kutoka Israel leo - kwamba "inadhibiti anga...
1 Reactions
16 Replies
889 Views
Iran yatoa onyo la kuhama mara moja watangazaji wa vituo vya habari vya Israel vya N12 and N14, taarifa kamili hapo chini kwa kimomboIran issues evacuation warning for Israeli news channels...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Makombora ya Mwiba Yaliyoharibu Ulinzi wa Anga Kutoka Ndani ya Iran yaliongozwa kwa mbali. Huku kampeni ya Israel ya Operesheni Rising Simba ikiingia siku yake ya tano, maafisa wa Iran wanadai...
0 Reactions
1 Replies
460 Views
Hali inazidi kuwa tetes hivi Israel inawapataje hawa? Hili ndo swali ninalojiuliza kila wakati. Maana naona wao wanaua mara moja tu. Sisi tulishamuua sana Benjamini Netanyau kwa mujibu wa Ritz...
3 Reactions
14 Replies
983 Views
Nimeishi maisha yangu nikijua kua Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani.. Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani Sasa hiki ni nini mngu...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Katika miongo ya karibuni, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejitokeza kama moja ya mataifa yanayoendeleza teknolojia ya makombora kwa kasi na kwa nguvu kubwa. Miongoni mwa silaha zake zinazozua...
1 Reactions
4 Replies
472 Views
Back
Top Bottom