Sio kwamba nachochea ila ni ukweli ambao upo japo tunajifanya kuupotezea. Nmeshangazwa na lililotokea nchini Brazil kuwa askari wamegoma hivi hii hali ikitokea kwetu sijui itakuwaje...
Russia's Gazprom and China's China National Petroleum Corp. (CNPC) have signed a historic 30-year contract to supply natural gas to China, according to Russia Today and confirmed by Bloomberg...
The Makerere University's college of computing and information sciences Block B that was reportedly being targeted by terrorists.
The Police yesterday called for increased vigilance at Makerere...
Some are increasingly worried about a return to the cold war erra. The divide between the US-Europe and Russia-China is growing bigger and their impact on "third world" countries is increasing in...
Mkuu wa majeshi nchini Thailand ametangaza mapinduzi , akisema jeshi sasa linachukua udhibiti wa serikali.
Katika taarifa iliyotolewa kupitia kwa televisheni, mkuu huyo wa majeshi alisema jeshi...
Nimevutiwa sana na matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Raiswa Malawi yanayoendelea kujumlishwa kufuatia uchaguzi uliofanyika jana nakurudiwa leo kwa baadhi ya vituo ambavyo shughuli za upigaji...
Apparently, the 2 were said to have gone to the night club for a helluva time together, and on coming back from the night of fun, the married Ambassador & girlfriend apparently drove into the sea...
More than 200million eBay users were told last night to change all of their passwords amid fears their personal datanmight have been stolen in a major cyber attack. Every one of the online auction...
Bidhaa ya BVO tayari imeondolewa katika Kinywaji cha Powerade chenye ladha tofauto tofauti
Kampuni kubwa zaidi ya vinywaji duniani Coca-Cola, inapanga kuondoa kiungo tatanishi katika baadhi ya...
Mbu hawa wananofiwa kuanza kusababisha Malaria
Utafiti uliofanywa nchini Uingereza unaonyesha kuwa Mbu wameanza kuvamia maeneo mbali mbali ya nchi hiyo.
Mabadiliko katika hewa ya mjini nchini...
KONY APATA MRITHI: Kiongozi muasi wa LRA wa Uganda, Joseph Kony amemrithisha mwanaye Salim Saleh Kony uongozi wa kundi hilo. AU Kamanda S. Kavuma athibitisha.
Wabongo kawaida hamueleweki kwa chochote, sasa naona hata mumeburura Burundi wanawafuata kama vipofu. Sawa mligoma hamtaki muungano kwa ajili eti ardhi yenu itatwaliwa, mara utalii wenu utaishia...
China's president called Tuesday for the creation of a new Asian structure for security cooperation based on a regional group that includesRussia and Iran and excludes the United States...
Channel 4 News has exclusive video of Zimbabwean President Robert Mugabe arriving at a private hospital in Singapore. Mr Mugabe's wife Grace and his bodyguard attempt to stop the cameraman...
Mara nyingi milipuko ikitokea hapa Kenya, mnakurupuka eti tuondoe majeshi Somalia na kutoroka. Sasa jameni muwape ushauri Wanigeria cha kufanya. Dunia haiwezi ongozwo na uoga, bali ujasiri na...
Kumradhi Video hi inatisha.
Mmoja kati ya wasichana 200 waliotekwa na boko haram amepigwa mawe mpaka kufa.
Natoa tahadhari video hi inatisha na inahuzunisha sana.
Tuungane a wenzetu kupinga...
MUBARAK JELA: Mahakama nchini Misri imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu jela aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Hosni Mubarak kwa kosa la kuiba mali za umma.
A tree was planted and a plaque was unveiled on Monday at United Nations headquarters in New York to mark the 10th anniversary of Prof Wangari Maathai's receipt of the Nobel Peace Prize.
Kenya...
Wakati nyie munawashabikia Alshabaab wakirusha mabomu hapa kwetu, kunao Wasomali wanawapiga huko kwao.
=======================================
When you meet him in the mosque, Sheikh Mohamed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.