Tanzania, Burundi hold back single customs zone bid

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,574
Reaction score
53,605
Wabongo kawaida hamueleweki kwa chochote, sasa naona hata mumeburura Burundi wanawafuata kama vipofu. Sawa mligoma hamtaki muungano kwa ajili eti ardhi yenu itatwaliwa, mara utalii wenu utaishia kwingine. Sisi tukasepa na CoW. Haya mkakubali eti single custom mutahusika maana hii haihusu raslimali zenu, ila ni ushirikiano katika ukusanyaji wa kodi kwa nchi zote za EAC. Hili hata nalo mnasitasita.....duh kazi bado ipo kweli.

By YVONE KAWIRA
More by this AuthorLess than two months to a self-imposed deadline for full implementation of the Single Customs Territory, only three out of the five East African Community countries have embraced the system.

The presidents of member states in November last year agreed on a July 1, 2014, date but only Kenya, Uganda and Rwanda have begun the implementation process. Burundi and Tanzania are yet to come on board.

Under the territory, tax authorities from the five partner states are expected to carry joint collection of revenues at ports of entry into the region drastically reducing the time taken to transport cargo across borders.

OPERATIONAL COSTS

This would cut operational costs and significantly improve the regional business climate.

Kenya Revenue Authority (KRA) officials said Monday they expected Tanzania and Burundi to begin implementing the decision soon.

Although a protocol making provisions for the SCT was adopted by the community in 2005, the full implementation of the system has been consistently delayed during the ensuing years.

"However, since the customs union came into force and subsequent conclusion of the EAC Common Market Protocol, and the monetary union, the objectives of the customs union protocol have not been realised fully," said KRA deputy commissioner of customs Nicholas Kinoti.

The official, who was speaking in Nairobi on Monday during an awareness forum, said some of the broad objectives of the customs union are to promote intra-regional trade by supporting industrial growth, attracting investment and eliminating non-tariff barriers to promote circulation of goods.

SEVERAL BENEFITS

He said several benefits have been reported from the roll-out of the pilot stage, ranging from increased revenue, higher cargo-clearance volumes and less goods-clearance time.

KRA estimates that the time taken to transport goods from the port of Mombasa to Uganda has been cut from 18 days to four days partly due to implementation of the SCT.

In the initial stages, the plan began with clearance of oil and is currently being structured to include cement, edible oils, milk and milk products as well as confectioneries.

The system has been in use in Kenya, Rwanda and Uganda on a pilot basis since January 1.

CC: Geza Ulole kadoda11 Bulldog Kimweri
 
Last edited by a moderator:
Mutaona mengi. Tanzania tumejipanga sasa. Si ile ya mwaka 77. Mujipange mkija na wazo lolote. Mfano ni hayo yawakutayo kwa sasa.
 
Wewe umesoma taarifa kabla hujakurupuka, ndio tatizo lenu hilo, uvivu wa kusoma. Hili hatukulileta ila wote tulikubaliana na lingewanufaisha sana nchi zinazotumia bandari zetu, yaani yetu ya Mombasa na huko kwenu Dar. Higher cargo-clearance volumes and less goods-clearance time, kwa mfano mizigo tokea Mombasa hadi Kampala kawaida ilikua siku kumi na nane, sasa zimeshuka hadi siku nne maximum.... hivyo sio maswala ya ardhi ama utalii....aisei mna kazi nyie, natumai hamna kauli hizi za kiajabu hata huko SADC maana kunazo nchi huko zinatumia bandari yenu.
 
Wewe kila siku mashindano, si uchukue kombe ligi iishe!

Sasa mashindano yako wapi hapa, haya ni makubaliano yaliyokuwepo baina ya nchi zote za EAC ili kurahisisha usafirishaji kwa nchi zinazotegemea bandari zetu. Huu sio ushindani, jameni sio kila kitu mnatia chuki, tusonge mbele kama EAC na haswa sisi wasomi tuhusike pakubwa.
 
Mmekaa kiukora ukora nyie Pamoja na Betina wenu wa kiume. Kama mnapanga kuuwa watu, sembuse uchumi wa wengine!!. Tunaenda na nyinyi kwa umakini lakini... Tupo pamoja jirani, pamoja sana.
 
ALSHABAB we thank u very much...ni wakati sasa kwa government of TZ to supply more and heavy weapons to alshabab kwan wataturahisishia sana na utalii+uchumi wa Kenya will get to its kneels..and this is not new coz US,UK,RUSSIA,IRAN wanafanya to protect their interest..km RWANDA n UGANDA arming M23 and other rebels while extracting DRC Resources...thank again alshabab juz wawekezaji wa mahotel mombasa walikua wanalia kua watapunguza wafanyakaz kwan mambo si mambo sisi tunataka hizo mahotel zifungwe kabisa ndo mtajua kua mli side na wrong pple COW
 
Hahaha!! duh.. hii nimeipenda, yaani mbavu zinanivunja hapa. Sasa imekua ni maombi kwa Alshabaab watupunguze kasi baada kuwahemesha sana.
 
Efficiency za bandari ya Mombasa kwa mizigo ya kwenda uganda na rwanda zitanisaidia vipi mimi mtanzania? Mimi tuongelee mafanikio na efficiency za kukuza bandari ya Dar,Tanga Mtwara na Bagamoyo!
Wewe umesoma taarifa kabla hujakurupuka, ndio tatizo lenu hilo, uvivu wa kusoma. Hili hatukulileta ila wote tulikubaliana na lingewanufaisha sana nchi zinazotumia bandari zetu, yaani yetu ya Mombasa na huko kwenu Dar. Higher cargo-clearance volumes and less goods-clearance time, kwa mfano mizigo tokea Mombasa hadi Kampala kawaida ilikua siku kumi na nane, sasa zimeshuka hadi siku nne maximum.... hivyo sio maswala ya ardhi ama utalii....aisei mna kazi nyie, natumai hamna kauli hizi za kiajabu hata huko SADC maana kunazo nchi huko zinatumia bandari yenu.
 
Efficiency za bandari ya Mombasa kwa mizigo ya kwenda uganda na rwanda zitanisaidia vipi mimi mtanzania? Mimi tuongelee mafanikio na efficiency za kukuza bandari ya Dar,Tanga Mtwara na Bagamoyo!

Jameni mambo haya kawaida huwa yanajadiliwa huko kwenu Arusha, munayakubali na kusalimiana afu mnageuka usiku ghafla. Sio mambo ya bandari tuu lakini kanda hii yote ya EAC na hata nje, mwishoye yatahusu mipaka yote, yaani
Rusumo (Rwanda/Tanzania); Katuna/Gatuna, Mirama Hills/Kagitumba (Uganda/Rwanda); Nemba/Gisenyi 2, Ruhwa, Akanyaru (Rwanda/Burundi); Malaba, Busia (Kenya/Uganda); Namanga, Taveta/Holili, Lunga Lunga/Horo Horo, Isebania/Serari (Tanzania/Kenya); Kobero/Kabanga (Burundi/Tanzania); Mutukula (Tanzania/Uganda); na Tunduma/Nakonde Tanzania/Zambia).

Jameni kaka na dada zetu Wabongo, sio kila kitu ni chuki na ushindani, ila ni mwamko mpya kanda hii ya Afrika na huku kujichelewesha kutagharimu sana.
 
h
amumjui kikwete nyie,waulizeni kina dr.slaa anavyowapiga kanzu on daily basis.kwa hili la EA mmelikoroga,hivyo union Itakuwa redacted yore itabaki Jina tulsi vibaya mkajumuisha South Sudan mkatengeneza a proper EAC,msiwasahau Somalia Pia,kisha muondoe border controls.kuwe an single entry visa.single currency.
sijawahi ona Mwenye Nguvu aking'an'ania na weak.sasa mnaizodoa TZ kuwa goigoi,halafu mnalazimisha kuungana nayo.
waingereza wanaikataa EU kwa kuwa uchumi wao ujao juu.kina Ukraine wanaiota EU kwa kuwa wako taabani.

mlikosea sana kumuinsult kikwete,kwa I Neil mwanasiasa peeked aliyekuwa ana push hi EAC.he is leaving next year.anayekuja ni habari Mbaga zaidi.
 
Sielewi kinacho wafanya mkurupuke hivi, jameni someni taarifa vizuri na kufuatilia vyombo vya habari. Hili la single custom sio muungano, ila ni jinsi ya kurahisisha shughuli za bandari na usafirishaji wa mizigo mipakani. Mimi binafsi kiutalaamu nahusika kiaina na shughuli hizi na tumekaa vikao na wataalamu tokea EA yote wakiwemo Wabongo. Haswa wataalamu Watz walishabikia sana na najua lazima wamevunjika moyo sana baada ya kuona kwamba mmejitenga hata kwa hili.

Yaani issue ya muungano tulimalizana na tukaheshimu kauli yenu ya kutohusika. Sisi tumesepa na CoW na tuna mengi yanatimia, mojawapo ikiwa ujenzi wa reali ya kisasa itakayounganisha nchi nne.
 
Basi usipige kelele Tanzania ikitafuta njia yake yenyewe. am sure kila mtu anawatakia kila la heri na CoW.kwani mnafanana kwa kila kitu, kuanzia aina za uongozi,viongozi hadi sifa za wanaowaongoza.

Hayo ni moja ya mambo yaliyowafanya mshindwe elewana na watanzania, hao 9-5 unaofanya nao kazi sio wafanya maamuzi,hawajawahi amua wala hawatawahi amua.its beyond their pay grade.

Siku kukiwa na heshima ya kila taifa ndani ya EA ndio mtaweza kukaa meza moja na TZ, hizi hadithi za raisi mmoja kutapa atampiga raisi mwengine, uhuni huo TZ hatujauzoea. sisi ni kioo cha ustaarabu ati.

u can't have your cake and eat it, unanikumbusha hadithi za UKRAINE, wanaiita Russia wababe, halafu wanataka wawakopeshe gesi.ebo.

nyie mnawaita watanzania goigoi, nyi emko sharp, sasa mnashindwa nini kuendelea?mko zaidi ya 80M,mnatosha ati. Kikwete ameshawaambia tangulieni, tutajiunga baadae.shida iko wapi hapa?kuna ulazima gani wa kuburuzu majitu goigoi kama sie?
 
Hamna mtu ameipigia Tanzania kelele kwa kujitafutia njia mbadala na CoW, huo ni uhuru wake na tunaitakia kila la heri pia. Tatizo ni hili la kuwaita wadau kwenye vikao Arusha, panatokea maazimio yanayokubalika na kila mtu halafu baadaye Tz inageuka usiku. Vikao vyetu vya CoW tunavifanyia kwingine sio Arusha, huko Arusha tunakuja tu panapotokea issue yenye Tanzania inataka kuhusika kama hili la single custom.

Mradi wa single custom sio EAC tu, nimesema hapo awali ni vile mna uvivu wa kusoma, unahusu Rusumo (Rwanda/Tanzania); Katuna/Gatuna, Mirama Hills/Kagitumba (Uganda/Rwanda); Nemba/Gisenyi 2, Ruhwa, Akanyaru (Rwanda/Burundi); Malaba, Busia (Kenya/Uganda); Namanga, Taveta/Holili, Lunga Lunga/Horo Horo, Isebania/Serari (Tanzania/Kenya); Kobero/Kabanga (Burundi/Tanzania); Mutukula (Tanzania/Uganda); na Tunduma/Nakonde Tanzania/Zambia).
 
Kuna mtu aliwahi uliza kwa nini wabunge wanaenda kujadili haya mambo? jibu rahisi POSHO. wanasiasa wa TZ wanapenda pesa sana, hivyo sitting allowance inahusika sana.

The vibe is clear, hao wabunge wako hapo kufanya routine, hakuna tena EAC., mmeiua wenyewe na utoto wenu wa EAC, ndio shida ya rookie president akikutana na dictator.

Nawatakia kila la heri Kenya na CoW.am sure u will have a lot of bragging rights when CoW works out and things are superb.
 
Mi ndio maana kila siku nauliza hapa; wanatuonea huruma au gere?

Si wasonge...(in Kenyan voice)

Basi usipige kelele Tanzania ikitafuta njia yake yenyewe. am sure kila mtu anawatakia kila la heri na CoW.kwani mnafanana kwa kila kitu, kuanzia aina za uongozi,viongozi hadi sifa za wanaowaongoza.

Hayo ni moja ya mambo yaliyowafanya mshindwe elewana na watanzania, hao 9-5 unaofanya nao kazi sio wafanya maamuzi,hawajawahi amua wala hawatawahi amua.its beyond their pay grade.

Siku kukiwa na heshima ya kila taifa ndani ya EA ndio mtaweza kukaa meza moja na TZ, hizi hadithi za raisi mmoja kutapa atampiga raisi mwengine, uhuni huo TZ hatujauzoea. sisi ni kioo cha ustaarabu ati.

u can't have your cake and eat it, unanikumbusha hadithi za UKRAINE, wanaiita Russia wababe, halafu wanataka wawakopeshe gesi.ebo.

nyie mnawaita watanzania goigoi, nyi emko sharp, sasa mnashindwa nini kuendelea?mko zaidi ya 80M,mnatosha ati. Kikwete ameshawaambia tangulieni, tutajiunga baadae.shida iko wapi hapa?kuna ulazima gani wa kuburuzu majitu goigoi kama sie?
 
nawashauri muendelee kivyenu...bongo miyeyusho....mtachelewa bure...uku michongo haisogei mpaka wazito wakae wadiscuss jinsi watakavyofaidika and this normally takes time
 
Back
Top Bottom