Butola
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 2,290
- 756
Nimevutiwa sana na matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Raiswa Malawi yanayoendelea kujumlishwa kufuatia uchaguzi uliofanyika jana nakurudiwa leo kwa baadhi ya vituo ambavyo shughuli za upigaji kurazilishindikana kufanyika jana.
Kilichonivutia ni huu mpambano ulioonekana kwenye matokeo yasiyorasmi(hayajatangazwa bado na tume) katikavituo 1,100 kati ya jumla ya vituo vyote 4,445 ambapo matokeo hayo yanaonyesha:
1. Peter wa Mutharika (DPP- cha Rais wa 3-Bingu wa Mutharika) 31%
2. Askofu Lazaroua Chakwera (MCP-Cha Rais wa 1-Kamuzu Banda) 25%
3. Joyce Banda (PP-cha Rais wa Sasa) 22%
4. Atupele Muluzi (UDP-cha Rais wa 2-Bakil Muluzi) 15%
Note: Yeyote atakayepata kura nyingi zaidi ya wenzake ndiye mshindi atakama hatafikisha 50% ya kura zote.
Kwa upinzani wa aina hii,ni wazi kuwa yeyote atakayeshinda hatabweteka akitambua kuwa hana umma mkubwa nyuma yake hivyo usalama wake nakufanya kazi ya kutukuka ili kwanza aweze kuwaridhisha waliomchagua lakini piaili awavutie walio upande wa wapinzani wake.
Kwa nchi kama zetu ni muhimu kuwapapressure hii watawala ili ata kama hawataki kuwajibika kwa umma kwa utashi waobasi wafanye hivyo kwa lazima kwa kuhofia kunyangazwa nafasi zao.
Pia katika uchaguzi huo, wagombea wenza (Makamu wa Rais) waJoyce Banda na wa Atupele Muluzi wameangushwa kwenye ubunge.
http://munthalikondwani.blogspot.in/
http://www.malawitoday.com/news/131622-dpps-peter-mutharika-leading-malawi-presidential-elections
http://www.malawivoice.com/2014/05/21/breaking-news-malawis-peter-mutharika-heading-towards-landslide-dominates-20-districts/
[/SIZE]