International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mataifa ya Magharibi yahimizwa kuunga mkono vita dhidi ya Tehran kupitia kampeni ya mitandaoni Israel imeonya kuwa makombora yanayorushwa na Tehran yanaweza kulenga Ulaya, huku ikiongeza juhudi...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Trump atatoa wiki mbili zaidi kwa ajili ya diplomasia kabla ya kuamua juu ya shambulio la Marekani dhidi ya Iran, yasema Ikulu ya White House Msemaji wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt...
0 Reactions
77 Replies
3K Views
Mods msiunganishe huu Uzi tafadhali ili kuweka mizani sawa ya kile kilichojiri kwenye mashambulizi ya Iran ndani ya Israel, hii ni kuonyesha uhalisia baada ya Israel na vyombo vya habari vya...
19 Reactions
48 Replies
5K Views
Balozi wa Israel katika Umoja wa Mataifa, Danny Danon, Amshambulia Balozi wa Iran kwa Kusema "Anajifanya Mhusika wa Unyanyasaji" Balozi wa Israel katika Umoja wa Mataifa, Danny Danon, ambaye...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
1. Marekani na Migogoro ya Mashariki ya Kati Iraq (2003): Marekani ilivamia Iraq kwa madai kuwa Saddam Hussein alikuwa na silaha za maangamizi (WMD), jambo ambalo baadaye halikuthibitishwa. Vita...
1 Reactions
7 Replies
766 Views
Kutoka kwenye korido za mamlaka mjini Malabo hadi maduka ya kifahari ya Paris na Mahakama za Geneva, simulizi ya Teodorin Obiang Mangue, Makamu wa Rais wa Guinea ya Ikweta na mtoto wa rais...
1 Reactions
7 Replies
750 Views
Biblia ya Scofield ni tafsiri ya King James Version (KJV) iliyoambatana na maelezo ya kina kutoka kwa Cyrus Ingerson Scofield, mchungaji wa Kimarekani aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika karne ya...
1 Reactions
1 Replies
330 Views
Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine? Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa...
17 Reactions
70 Replies
3K Views
Huyu ndo bibi Netanyahu waziri mkuu mpenda vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel? Mbona kanywea hivi?Mbona kawa hivi hatujamzoea hivi?[emoji33][emoji33][emoji1313][emoji1313] Miongoni mwa watu...
13 Reactions
31 Replies
2K Views
Ukisoma historia ya waisrael, ni waarabu wenye dini tofauti baina yao na waarabu wenzao ambao ni waislam nao wayahudi. Ila ukaingalia wengi wanaojiita waisrael kama akina Netanyahu, unagundua kuwa...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Trump Asema Iran Inataka Kuzungumza na Marekani, Sio Umoja wa Ulaya Rais wa Marekani, Donald Trump, alisema siku ya Ijumaa kuwa Washington imekuwa na mawasiliano na Iran, na kuongeza kuwa Tehran...
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Mahakama jijini London imemhukumu kifungo cha maisha jela raia wa China, Zhenhao Zou (28) na mwanafunzi wa shahada ya uzamili, kwa kosa la kuwabaka wanawake 10 nchini Uingereza na China. Zou...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaonya raia wa Iran waliopo mji wa Tehran kuhama mara moja kuwa kutakuwa na mashambulizi yanayoweza kufanyika katika eneo hilo amedai kuwa ba...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Tumeisha toa amri Israel lazima atiwe adabu na nchi yeyote inayo ingilia tutaishambulia https://youtu.be/ij4yaxMawng?si=Pepu-im6QwJ48gLZ Vitu vinaondoka mda huu...
6 Reactions
12 Replies
882 Views
Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote. Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu? Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Mshauri wa kiongozi Ali Shamkhani, aliyejeruhiwa katika uvamizi wa Israel, anasema 'alfajiri ya ushindi imekaribia' Kukomesha uvumi, Admiral Ali Shamkhani, mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Kampuni ya TotalEnergies (TTEF.PA) inatarajia kuanza tena uendelezaji wa mradi wake wa gesi asilia iliyolengwa kushindikwa (LNG) wenye thamani ya dola bilioni 20 nchini Msumbiji “msimu huu wa...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Back
Top Bottom