International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Alikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wana JF. Kumekuwa na Threads nyingi Sana zinazo husu masuala ya vita Kama Ukraine na Russia, Gaza na Israel n.k. hivi Sasa Kuna vita vinaendelea kati ya Israel na Iran nitaelezea kidogo...
1 Reactions
6 Replies
568 Views
🇮🇱 Israel imehamisha mifumo ya Patriot kwenda Ukraine, Balozi wa Israel nchini Ukraine Michael Brodsky amethibitisha. "Mifumo ya Patriot tuliyowahi kupokea kutoka Marekani sasa iko Ukraine. Hii...
3 Reactions
10 Replies
821 Views
Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi. Katika safari ya vita ya...
9 Reactions
66 Replies
3K Views
Israeli military says new Barak defense system intercepts drone in first operation The Israeli military said on Friday that its Barak air defense system successfully intercepted an unmanned...
0 Reactions
2 Replies
467 Views
Hii ndio the latest report kutoka IDF.
1 Reactions
1 Replies
470 Views
Hii sio sasa maana Usrael wanaingia na kutoka kwenye anga la Iran utadhani wanacheza game. Mikwara yote ile tuliyokuwa tunasikia ya mifumo imara ya ulinzi wa anga imegeuka kuwa kama kituko, Hivi...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
dakika 46 zilizopita "Vita vyetu nchini Iran vinaweza kudumu kwa muda mrefu," jeshi la Israeli linasema "Mapigano yetu nchini Iran yanaweza kudumu kwa muda mrefu," msemaji wa jeshi la Israel Avi...
0 Reactions
9 Replies
997 Views
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ametangaza kusitisha ghafla kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, kufuatia mvutano unaoendelea kati ya serikali na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mawaziri wa Ulaya wanatarajiwa kukutana leo kuishawishi Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo, Mawaziri hao wa Mambo ya nje watakutana na mwenzao wa Iran Abbas Araghchi mjini Geneva, Uswis leo...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Iran anatia huruma sometime, ila kwa upande mwingine kutetewa kimataifa inakuwa ni ngumu. Marafiki zake hawajitokezi hadharani, huenda wanamsaidia kwa siri, na rafiki yake mkubwa, vita vya...
3 Reactions
7 Replies
724 Views
Baada ya tamko la Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia Edgar Lungu ambalo yalikuwa ni maagizo yake ya kwamba mpinzani wake wa kisiasa na Rais wa sasa Hakainde Hichilema hapaswi kufika popote karibu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral...
18 Reactions
75 Replies
3K Views
Raisi Donald Trump wa Marekani hashikiki kwa hasira na kiwewe anatoa majibu yasiyo na mpangilio maalum wala hadhi za ikulu ya White House. Kisa cha hali hiyo ni kutokana na Iran kuwa na huru wa...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani...
11 Reactions
93 Replies
3K Views
Uamuzi wa Rais Donald Trump kufungua dirisha la majadiliano la wiki mbili kabla ya kuamua iwapo ataiamuru Marekani kuishambulia Iran umechochea harakati za haraka za kuanzisha tena mazungumzo...
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa...
0 Reactions
3 Replies
407 Views
Kwanza Muumba kawadekeza sana, licha ya wao kuwa watukutu haswa, kumkosea mara kadhaa lakini bado aliwakingia kifua na kuwarudishia miaka na mali zao zilizoliwa na nzige. Hapa alaumiwe aliye juu...
2 Reactions
7 Replies
538 Views
Ndiyo, wanaweza kutuma ndege na kurusha makombora. Lakini si kuthubutu kutuma askari wa ardhini – maana ardhi ya Iran si ramani ya kuchora, ni kaburi la majeshi ya kiburi. Uvamizi wa Ardhini ni...
3 Reactions
82 Replies
4K Views
Baada ya Ballistic missiles za Iran kupiga kituo kikuu cha utafiti cha Weismann na kukisambaratisha. Wanasayansi wa Israel wamesema kuwa sample nyingi sana za utafiti zimeharibiwa, wameweza...
4 Reactions
9 Replies
731 Views
Back
Top Bottom