International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jeshi la Marekani limepeleka ndege zake za kivita za kisasa zaidi aina ya F-35A Mashariki ya Kati, huku likiendelea kushambulia waasi wa Houthi nchini Yemen — kundi linaloungwa mkono na Iran...
3 Reactions
7 Replies
873 Views
Uzi Maalumu Kila jambo lina Mwisho njia bora kujenga amani ya kudumu ni muhimu
0 Reactions
19 Replies
606 Views
Acha akili kubwa iendelee kuongoza dunia na itakuwa hivyo milele Najifunza mengi sana kwenye hii vita Ukiangalia mashambulizi ya pande zote Mbili, Iran na Israel Huwenda uwezo wao ni mmoja tu...
13 Reactions
52 Replies
2K Views
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika. Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za...
12 Reactions
163 Replies
5K Views
Mlio sema Israel ana control anga tukawambia hamna lolote Missiles zinaruka. Sa hizi hapa fighter Jet za Iran zinaruka hebu nipeni hapo jibu labda zinaelekea kwenda piga Israel. Leo tena karibu...
13 Reactions
74 Replies
4K Views
Ni kama vile serikali ya Marekani inamilikiwa na Israel. Inawezekana vipi akasema Tulsi ( mkuu wa intelligence) haujui kitu basda ya kuulizwa kua report ya march 2025 inaonesha Iran hana nuclear...
5 Reactions
8 Replies
620 Views
Kwa Ayatollah Khamenei hakutania aliposema Israel ijiandae kupata maafa makubwa katika vita. Baada ya kupigwa na kuharibiwa kwa hospitali kubwa nchini Israel ambayo Netanyahu huwa anatembelea...
1 Reactions
18 Replies
988 Views
Flight data shows two B-2 bombers taking off from US, flying toward Guam Today, 1:11 pm Two B-2 bombers have taken off from Whiteman Air Force Base in Missouri towards the US military base on the...
4 Reactions
7 Replies
657 Views
Tetemeko la Ardhi la Kipimo cha 5.1 Laitikisa Kaskazini mwa Iran Wakati Israel Ikiendeleza Mashambulizi ya Anga Shirika la Jiolojia la Marekani (USGS) limesema kuwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Iran imetangaza kuwa wanawake na watoto 45 wameuawa tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel, huku wengine 75 wakijeruhiwa. Katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia televisheni, msemaji wa...
1 Reactions
8 Replies
438 Views
Madege haya ya B-2 stealth bombers ndio yanatarajiwa kufumua milima na miamba Ili kufikia na kuharibu vituo vya nyuklia vya Iran vilivo ardhini.
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Kwa uwezo wa kijeshi na teknolojia ya kisasa, ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-2 Spirit (stealth bomber) inaweza kuharibu kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow (au Fordo Fuel Enrichment Plant...
3 Reactions
11 Replies
941 Views
Swali hilo limekuwa likiulizwa na watu wengi, hasa katika nyakati hizi tunapoona Taifa la Israeli likipitia mateso, vita, au mashambulizi makali. Huenda hata wewe unajiuliza: “Je, ni kweli Mungu...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Truth Social Rais wa Marekani, Donald Tru,p ameandika Juni 19, 2025 ""Siku nyingi za mapumziko zisizo za kazi nchini Marekani. Zinatugharimu mabilioni kwa sababu...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site. Hakuna ripoti ya majanga japo...
5 Reactions
16 Replies
981 Views
Nimekua nikifuatilia dini hizi mbili kubwa katika mambo kadhaa kama yafuatayo Wote huamini maandiko ya mwanzo yasiobadilika .Wote huamuni Mungu ni mmoja wala hana mtoto. Wote hulotaja jina la...
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama...
3 Reactions
3 Replies
552 Views
Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kinashindikana sasa IDF na kakikundi ka Hamas mwaka wa pili unaelekea sasa IDF na Iran haifahamika hatima yao mpaka leo
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi...
10 Reactions
126 Replies
4K Views
"Siku nikifa mpinzani wangu Hichilema, asishiriki maziko yangu Wala kuukaribia mwili wangu" Familia ya Rais wa Zamani wa Zambia Edgar Lungu Yatangaza Atazikwa Afrika Kusini Baada ya Mvutano na...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Back
Top Bottom