International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Marekani inakadiria kuwa Iran huenda ikatekeleza mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya majeshi ya Marekani yaliyoko Mashariki ya Kati hivi karibuni, shirika la habari la Reuters limeripoti...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Sijui kwanini Israel wanaficha madhara makubwa ya vifo na majeruhi Maafisa wa ngazi za juu wa Morocco waliokua mafunzoni Israel ni miongoni mwa wanajeshi waliangamizwa na Makombora ya Iran Mamia...
0 Reactions
2 Replies
523 Views
Ayatollah ana miaka 86,kwa umri huo sijui kama ana uwezo wa kujua nini kinatokea.Ahhh ni khamenei sio khamei,kumradhi
6 Reactions
12 Replies
703 Views
1 hour ago Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated "The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US...
21 Reactions
209 Replies
8K Views
Bomu hili linaweza kupenya hadi futi 200 (sawa na mita 61) ndani ya ardhi, siyo ndani ya mlima, au futi 60 za saruji (karibu mita 18). Unapaswa kufahamu kuwa mlima ni tofauti na saruji. Kituo cha...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
1. Kuendelea Kuishi = Ushindi Katika vita vinavyolenga kubadilisha utawala, kuendelea kuwepo madarakani ni ushindi. Licha ya kushambuliwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ipo madarakani...
1 Reactions
0 Replies
421 Views
Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia. Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo. Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa. Iran ingekuwa...
22 Reactions
110 Replies
3K Views
WaIran wazalendo wanaoiona video hii hasa walio nje ya nchi wenye access ya Internet wanasema wao huongea Kifarsi, hawaitambui lugha inayotumika. wamorocco nao hawataki vivutio vyao kutumika...
0 Reactions
3 Replies
552 Views
Matisho ya Putin wa Urusi kwamba akiguswa na West atafungulia milango ya kuzimu ni kama haya matisho ya MaAyatollah wa Iran tu. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iliyokwanguliwa yote na Israel...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran. Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja...
11 Reactions
93 Replies
5K Views
Naomba niwahabarishe kidogo tulichoamua na wenzetu tangu juzi ili kufikia makubaliano yatakayookoa pande zote. Mimi nikiwa kiungo wa kati niliweza kushiriki na wenzangu kwenye kikao cha siri...
6 Reactions
7 Replies
504 Views
Habari za Asubuhi team!! kabla ya kuanza uzi wangu naomba kuweka sawa mambo yafuatayo;- 1. Sishambulii wala kudogosha au kudhalilisha dini ya KIKIRISTO kwa sababu uzi huu unahusu purely Christian...
16 Reactions
124 Replies
4K Views
K Katika mfululizo wa mashambulizi ya Makombora ya Iran huko Israel duru zinaeleza kuuawa kwa maofisa wawili wakubwa wa kijeshi Wa Jeshi la Morocco waliokuwa katika mafunzo ya pamoja na IDF huko...
4 Reactions
9 Replies
946 Views
Hii ndo habari yenyewe Iran inajiandaa kwa shambulizi kubwa mno la kuzipiga kambi za kijeshi za Marekani kwenye eneo la Mashariki ya kati Hii vita inazidi kukua tu.
1 Reactions
2 Replies
319 Views
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao...
8 Reactions
84 Replies
4K Views
Tupo Salama! Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka. Usiende kwa Kasi Sana. Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Huyu mzee amesababisha Iran imerudishwa nyuma miaka mingi sana kwa muda mfupi....na bado kichapo kinaendelea. Iranian officials are considering removing Ayatollah Ali Khamenei as the Supreme...
1 Reactions
8 Replies
767 Views
Hawa watu siwaelewi, wapo kwenye vita halafu wanajikusanywa makao makuu, wamepigwa Hundreds of Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) members were killed by Israeli strikes across Tehran on...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Trump alisema jana kuwa Wameizika Fordow Sasa Mbona Israel imeenda tena kuipiga Fordow iliyozikwa? Hii Dunia maigizo ni kila kona siyo hapa bongo pekee 😂😂😂
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi...
5 Reactions
14 Replies
762 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…