International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kwamba Marekani inarejesha kizuizi chake cha majini dhidi ya Iran, akitangaza kwamba Marekani sasa itajulikana kama "Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz."...
3 Reactions
11 Replies
400 Views
Aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad (aliyeongoza hadi mwaka 2013), anaripotiwa kushikiliwa na mamlaka nchini humo kufuatia mfululizo wa kauli zake za ukosoaji dhidi ya serikali. Taarifa...
0 Reactions
8 Replies
341 Views
Serikali ya Yemen inayotambuliwa kimataifa imesema vikosi vyake vimeishambulia Uwanja wa Ndege wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi wa Houthi, kwa lengo la kuzuia ndege ya Iran kutua katika uwanja huo...
3 Reactions
28 Replies
423 Views
Wakati ukandamizaji ukizidi kushika kasi Burkina Faso na sifa kedwkede Kwa Traore ximeyeyuka baada ya Nchi kugeuka omba omba wa Kila kitu. Bwana yule alijizolea umaarufu miongoni Kwa wajinga na...
1 Reactions
19 Replies
550 Views
https://www.instagram.com/reel/DavMRdNAGlG/?igsh=c3JlYzN6NmpldGky
1 Reactions
3 Replies
218 Views
Hatimaye leo 10 July, China imeandika historia nyingine angani! Roketi ya Long March 10B ilirushwa kutoka Hainan, na baada ya kutimiza kazi yake, booster ilirudi duniani kwa kutua wima kwenye...
6 Reactions
46 Replies
882 Views
US President Donald Trump said ‌on Sunday ⁠that ‌Iran's new leadership wants to talk to him and that ‌he has agreed. “They want to talk, and I have agreed to talk, so I will be talking to them...
12 Reactions
79 Replies
2K Views
time is ticking for the communist cuba aidha kuingia dili na D.Trump (ending communism na kurudia Christian democracy) au waendelee kushupaza shingo wakiwa gizani, hali ni mbaya sana, kisiwa chote...
2 Reactions
11 Replies
594 Views
Aliyekuwa kiongozi wa Qatar, Hamad bin Khalifa Al Thani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Serikali ya Qatar (QNA). Sababu ya kifo chake haikutangazwa...
2 Reactions
16 Replies
485 Views
Israel imeishirikisha Marekani taarifa za kiintelijensia zinazoonyesha kuwa Iran imesuka mpango mpya na mahususi wa kutaka kumuua Rais Donald Trump. Ingawa Marekani imekuwa ikifuatilia vitisho...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Namaste, Tike, Buri na Buda ndo maneno maarufu Nepal Namaste iko Kama Indian ni salamu, Buri maana yake Mume, na buda ni mke, Hali ya Nepali Kiuchumi Nilifikia Kathamndul kwa Miezi miwili lengo...
26 Reactions
33 Replies
2K Views
Afisa wa Jeshi la Anga la Marekani, Jason Watson, alikamatwa baada ya kutoa tamko hadharani akitaka Rais na Makamu wa Rais washtakiwe na kuondolewa madarakani. Kwa sasa Watson anakabiliwa na...
2 Reactions
4 Replies
279 Views
Mahakama ya Katiba nchini Senegal imetupilia mbali mswada uliokuwa unalenga kupunguza madaraka ya Rais na kuongeza yale ya Bunge. Uamuzi huo wa Alhamisi ndio maendeleo ya hivi punde katika...
0 Reactions
8 Replies
209 Views
Ushahidi umekamilika sasa kilichobaki ni namna ya kumpeleka ICC ahukumiwe. Alipoulizwa.kuwa Bashir mpaka leo hajapelekwa huko akajibu: Ni mamlaka za ndani kumkabidhi kwetu tumshughulikie...
0 Reactions
3 Replies
141 Views
Wanaukumbi. IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz. Tukio hilo...
2 Reactions
26 Replies
919 Views
Wasalaam kwa kinachoendelea kwa sasa ni dhahir mgogoro wa Iran na Marekan&Israel haujapata suluhu.. vikao kadhaa za vya maridhiano vimefanyika lakin havijazaa matunda Juzi Nato wamekaa kikao...
3 Reactions
7 Replies
207 Views
Nimetoka SabaSaba! Hali iko shwari kabisa. Ingawaje hakuna watu wengi kutokana na hali ilivyo pamoja na hali ya hewa ya manyunyu. Kuna watu wananiambia hapa hakuna Nywinyinywi wala...
1 Reactions
35 Replies
768 Views
Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Leo jeshi la wanajeshi wa mapinduzi ya kiislam ya Iran IRGC limesema kuwa hakutakua na muingiliano wowote wa majeshi kutoka nje ya nchi za ghuba na ghuba ya uajemi usipokua Iran. Strait of...
1 Reactions
5 Replies
242 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…