kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 11,185 Reaction score 24,565 Jun 22, 2025 #1 Hivi hivi vikao vya UN vina faida gani? Naonaga wakiitisha vikao vya dharura au nchi ikienda kushitaki hapo Lakini sijawahi kuona faida ya hizo mikutano yao zaidi wanapotezaga mda tu. Ni kupoteza muda tu kupeleka jambo lako UN hamna kitu pale.
Hivi hivi vikao vya UN vina faida gani? Naonaga wakiitisha vikao vya dharura au nchi ikienda kushitaki hapo Lakini sijawahi kuona faida ya hizo mikutano yao zaidi wanapotezaga mda tu. Ni kupoteza muda tu kupeleka jambo lako UN hamna kitu pale.
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,479 Reaction score 11,671 Jun 22, 2025 #2 Waulize kobazi wenzio Iran wameomba hicho kikao baada ya kutobolewa matobo na zile B-2 za mabwenyenye Mnyama Eagle, a saceed bird in US
Waulize kobazi wenzio Iran wameomba hicho kikao baada ya kutobolewa matobo na zile B-2 za mabwenyenye Mnyama Eagle, a saceed bird in US