just what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda.
Hapo middle east...
Wakuu haya mambo sometimes zinafurahisha najua Joe Biden uko aliko anajuta sana anapoona Trump anafanya vitu vilivyokuwa vigumu kuwa rahisi hususani kuwapunguza kasi mahasimu wa US Iran na genge...
Imetokea Zambia kama ilivyoripotiwa na gazeti la Kalemba.
Naibu Mkuu wa Polisi wa zamani, Charity Katanga, anatarajiwa kuanza kutumikia kifungo cha miaka mitatu leo kufuatia uamuzi wa Mahakama...
Kuna kipindi rais Samia alitamba kwamba Tanzania ina akiba kubwa ya fedha za kigeni takriban dola bilioni 8 lakini kwa kota ya kwanza ya mwaka huu kauli hiyo haiwezi kuthibitishwa tena kwa mujibu...
Urusi imeendesha wimbi kubwa la mashambulizi ya anga dhidi ya Ukraine usiku wa kuamkia Jumapili na kusababisha kifo cha mtu mmoja huku wengine saba wakijeruhiwa.
ayo yameelezwa leo na mamlaka za...
Anasema:
Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140???
Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia
LAKINI CHA...
Tukitaka kuandika historia vyema basi lazima tuvitazame vita vya siku 12 kwa macho maangavu.
Mara kwa mara huwa tunasoma habari za Israel kupigana na mataifa yote ya kiarabu mwaka 1967 kwa siku 7...
Aliandika kwenye mtandao wake kuwa yeye na Israel wanafahamu alipojificha kiongozi mkuu wa Iran ayatollah ali khamenei na kwamba hawataki kumuua.
At the Same Point Waziri wa ulinzi wa Israel...
Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?
Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni...
Sio mwengine bali ni waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore bwana Lee Kuan Yew.
Mbeba maono aliye ivusha Singapore ka eneo kadogo kaliko kataliwa na Malaysia na kujitenga na kupata nchi yake iliyo...
Marekani na Israel zilikuwa zikijiandaa kulipiza kisasi haraka na kikali kwa Iran usiku kucha. Shukrani kwa ujasusi uliopangwa kwa njia tata za majasusi na marubani wa Israeli.
Ilipobainika kuwa...
Serikali ya Iran imekubali manyuklia yamesambaratishwa, ila makobaz humu JF yameshupaza na kutokwa mishipa utosini yakipinga kwamba hamna kilichotendeka kwenye hivyo vinu....
Mkibisha sana...
Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire
US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This...
Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea...
Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!
Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee...
Kwa miaka mingi Tangu nyakati za Uhuru Kenyatta na sasa Ruto serikali ya Kenya ilikuwa katika bonanza la kukopa pesa ndani na nje ya nchi kwa pupa huku ikiwaaminisha raia wake deni lao ni himilivu...
Kwa siku ya tatu mfululizo, maandamano dhidi ya Utawala wa Faure Gnassingbé, Madarakani kwa miaka 20, yalifanyika nchini Togo jana.
Baada ya wenye Mamlaka kutangaza mikusanyiko hiyo ya kuzindua...
Moussa Abu Marzouk, mbele, anahudhuria mazishi ya Saleh Arouri, huko Beirut, Lebanon, Januari 4, 2024. (Picha ya AP/Hussein Malla)
Kiongozi wa juu wa chama cha kisiasa za kigaidi cha Hamas Moussa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.