International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Ipo haja ya kuamini kuwa vinu vya nyuklia vya Iran ilikuwa ni kwa ajili ya matumizi ya kiraia na tafiti za kielimu. Inashangaza sana kuwa mataifa kadhaa yameweza kumiliki silaha za nyuklia kimya...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel. Aidha vita hiyo...
25 Reactions
103 Replies
4K Views
Usiku wa jana umethibitisha tena kile ambacho wachache wamekuwa wakikisema kwa sauti ya chini: Israel huweka kambi zake za kijeshi kama Kambi ya Rabin katikati ya maeneo yenye msongamano mkubwa wa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Thousands line streets to mourn Iranian generals, nuclear scientists killed during war with Israel By AP Today, 8:34 am Mourners gather in Enghelab Square to attend the funeral ceremony of the...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
BARAZA LA WAWAKILISHI MAREKANI NA UTENGENEZAJI WA WATU NA ALIEN Katika kikao cha mwisho kilichofanywa na Kamati ya Usimamizi wa Baraza la Wawakilishi kuhusu Mambo Yasiyoeleweka ya Kijeshi (UAP)...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Haya hapa ni matokeo ya vita kati ya Iran na Israel kwa njia ya kitaalamu, kwa kuzingatia takwimu halisi, tathmini ya kiintelijensia na matokeo ya kijeshi, bila chuki, ushabiki wa kidini, wala...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Urusi imerusha kombora katika mji wa viwanda wa Samar kusini mashariki mwa Ukraine na kusababisha vifo vya watu watano huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa. Gavana wa mji huo Serhiy Lysak...
3 Reactions
10 Replies
850 Views
Jeshi la Marekani halikutumia mabomu ya aina ya “bunker buster” kwenye moja ya vituo vikubwa vya nyuklia vya Iran mwishoni mwa wiki iliyopita, kwa sababu kituo hicho kipo ndani sana kiasi kwamba...
3 Reactions
9 Replies
650 Views
Takriban Wapalestina 18 wameuawa baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kulenga kitengo cha polisi cha Hamas kilichojaribu kudhibiti soko katika mji wa Deir al-Balah katikati mwa...
2 Reactions
7 Replies
503 Views
Iran imeomba mataifa ya Qatar, Saudi Arabia na Oman kumshawishi Rais wa Marekani, Donald Trump, ili iishawishe Israel kusitisha mara moja mashambulizi yake na kwa upande wake, Iran iko tayari...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Raia wa Israel waliopiga picha makombora ya Iran madhara na uharibifu uliotokea wameanza kusakwa na kukamatwa na vyombo vya dola vya Israel Wanashutumiwa kwa makosa ya kumsaidia Adui...
17 Reactions
41 Replies
3K Views
IDF says missile fired by Houthis apparently downed; no reports of injuries By Emanuel Fabian Follow Today, 7:29 am A ballistic missile launched at Israel by the Iran-backed Houthis in Yemen was...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
TRUMP AMJIBU VIKALI AYATOLLAH KWA HASIRA Rais wa wa Marekani, Donald J. Trump, ametoa kauli kali dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kufuatia matamshi ya Ayatollah aliyodai...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo utaanza Juni 30 hadi Julai 3 na miongoni mwa mambo yaliyomo kwenye ajenda ya mkutano huo ni mataifa kuondolewa mzigo wa madeni...
0 Reactions
2 Replies
441 Views
You neutralize the FDLR, Rwanda lifts its defense measures. As for the M23, there is the Doha process between Kinshasa and the M23. Kwa miaka kadhaa, inasemekana FDLR walishaingizwa kwenye...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amelaani siku ya Jumamosi, Juni 28, 2025, matamshi "ya kukosa heshima na yasiyokubalika" yaliyotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye alidai...
3 Reactions
4 Replies
654 Views
Wanaukumbi. 🚨🇮🇷 MAKOMBORA YANAPOSONGA 🚨 Picha zinazosambaa sasa zinaonyesha Iran ikituma makombora makubwa ya balestiki chini ya usindikizaji mzito. Tehran ametangaza: "Hakuna tena mazungumzo...
13 Reactions
182 Replies
7K Views
Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Ukiona baharia kama putin anakusifia basi ujue unapiga kazi kweli kweli😁
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom