Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi
Pia Waziri Mkuu wa...
1. Lord's Resistance Army (LRA):
Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara...
Hatua ya Donald Trump kupunguza kiwango kikubwa cha ufadhili wa Marekani kuelekea misaada ya kibinadamu ya kigeni inaweza kusababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 14 ifikapo mwaka 2030...
Mahakama ya Katiba ya Thailand imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Paetongtarn Shinawatra, ambaye anakabiliwa na shinikizo kubwa la kujiuzulu baada ya tukio la kuvujishwa kwa mazungumzo yake ya simu na...
Kiongozi wa upinzani nchini Chad na Waziri Mkuu wa zamani, Succès Masra, ambaye amekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwezi mmoja, amesitisha mgomo wake wa kutokula chakula uliodumu karibu wiki moja, kwa...
Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome
Pakiwa...
Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran.
Vyanzo vya kuaminika...
Yohana Jacob, a father of three from Kisiriri Village in Iramba District, has been a farmer for more than 20 years. Like many smallholder farmers in the Singida region, he faced major setbacks...
Mwanaume Mwingereza mwenye umri wa miaka 92 amehukumiwa nchini kwa kosa la ubakaji na mauaji yaliyotokea karibu miaka 60 iliyopita, katika moja ya kesi kongwe zaidi za jinai nchini Uingereza...
Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?
Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?
Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!
Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa...
Wakati wa usiku, mifumo ya ulinzi wa anga "iliharibu na kukatiza" droni 60 za Ukraine, Wizara ya Ulinzi ya Urusi inadai.
Kulingana na taarifa hiyo, ndege zisizo na rubani 17 zilipigwa juu ya...
Citizen Digital
Live TV
Live Radio
search
Change of Guard: President Ruto makes new appointments, promotions in KDF
Joseph Muia
By Joseph Muia
Published on: June 27, 2025 12:59 (EAT)...
Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi...
Mchambuzi wa runinga ya taifa ya Iran amesema Jumapili kuwa usitishaji wa mapigano uliopo kwa sasa ni kipindi kifupi tu kwa Israel na Marekani kujipanga upya, na kwamba wataendelea na mashambulizi...
Inashangaza jinsi waandishi wa habari wa BBC na CNN waliweza kumpata Osama kwa mahojiano lakini serikali ya Marekani haikuweza kumpata kwa miaka mingi
Sasa najiuliza walikuwa wanawaelekezaje njia...
Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la...
Wakuu wale wanaharakati wa Kenya na Uganda waliodai kufanyiwa vitendo vya kikatili na Tanzania wamesema lazima wadai fidia kwa Serikali ya Tanzania. Haya yameandikwa kwenye gazeti maarufu la...
Brand Mini
LIVE
'I am not offering Iran anything,' Trump says
'I am not offering Iran anything,' Trump says
Summary
US President Donald Trump said Monday he is not offering Iran “anything” and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.