Umoja wa Mataifa umeonya kuwa magenge ya kihalifu yamedhibiti karibu mji mzima wa Port-au-Prince, mji mkuu wa Haiti. Takriban asilimia 90 ya jiji hilo sasa liko mikononi mwa magenge, huku ghasia...
Tesla imekumbwa na pigo kubwa la mauzo kutokana na mchanganyiko wa sababu za kisiasa, ushindani wa kibiashara, na hali ya kutoaminika sokoni. Uwezo wa kampuni kurudi kwenye ukuaji utategemea...
Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House
Trump...
Mhariri mashuhuri wa gazeti la Zimbabwe Independent, Faith Zaba, amekamatwa na kuzuiliwa jijini Harare siku ya Jumatano kwa kuchapisha makala ya kejeli inayomkosoa Rais Emmerson Mnangagwa, hatua...
Trump alidai hivi karibuni kwamba Elon Musk angekuwa “rasmi anarudi Afrika Kusini” ikiwa serikali ya Marekani itakata misaada kwa makampuni yake. Hii ilitokea alipokosoa muswada wake wa matumizi –...
moja ya viongozi wakuu wa kidini nchini Iran 🇮🇷 Ayatollah Makarem Shirazi, ametoa wito kwa waislam kote Duniani, kuwaua Donald Trump na Benjamin Netanyahu, akiwaita viongozi hao kuwa ni “maadui wa...
Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno.
Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na...
srael imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60, Trump anasema
Israel imekubali "masharti ya lazima" ili kukamilisha usitishaji vita wa siku 60 huko Gaza, Rais wa Marekani Donald...
Watu watatu wameuawa na 35 kupelekwa hospitali kufuatia shambulio la Ukraine kwenye kiwanda kimoja katika mji wa Izhevsk - zaidi ya kilomita 1,000 kutoka mpakani, mamlaka ya Urusi inasema.
Kati ya...
Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida...
🇺🇸✈️ Marekani Yairuhusu Israel Kupokea Vifaa vya Mabomu ya Kisasa vya JDAM
Tarehe: 30 Juni 2025
Chanzo: Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Reuters, Anadolu Agency
Serikali ya Marekani, kupitia...
Marais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Vladimir Putin wa Urusi wamezungumza kwa simu jana Jumanne ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili na nusu.
Macron ametumia mazungumzo hayo...
Bunge la Kitaifa linaloungwa mkono na serikali ya Venezuela limemtangaza Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, Volker Turk kuwa mtu asiyetakiwa nchini humo
Hatua ya Venezuela...
Picha za satelaiti kutoka Maxar Technologies zinaonyesha vifaa vizito vya ujenzi vikifanya kazi katika kituo cha nyuklia cha Fordo nchini Iran mojawapo ya maeneo yaliyoshambuliwa na jeshi la...
Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran
Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran
Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya...
Elon Musk alijua, kabla hata hajanipigia debe kwa nguvu kama Rais, kwamba nilikuwa napinga vikali agizo la magari ya umeme (EV Mandate). Agizo hilo ni la kipuuzi, na lilikuwa sehemu kuu ya kampeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.