kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,179
- 24,562
Aliandika kwenye mtandao wake kuwa yeye na Israel wanafahamu alipojificha kiongozi mkuu wa Iran ayatollah ali khamenei na kwamba hawataki kumuua.
At the Same Point Waziri wa ulinzi wa Israel anakiri kuwa katika Operesheni yao lengo lilikua ni kumuua Ayatollah na viongozi wa kijeshi lakini kuhusu kumuua ayatollah walifeli kwani hawakujua alipo.
My take: Jee hawa ndo watu wa kuwaaamini??? Mbona trump na magharibi ni waongo sana?