International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametetea uamuzi wa nchi yake kusitisha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki,IAEA, akimtuhumu mkuu wake kwa mwenendo wa kile alichokiita...
4 Reactions
7 Replies
654 Views
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesaini sheria ya kusitisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia (IAEA), huku mvutano ukizidi kati ya Tehran na shirika hilo la Umoja wa...
8 Reactions
9 Replies
657 Views
Uchambuzi Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Gesi kali aina ya Benzene imevuja na kutanda mjini Haifa, Israel baada ya Iran kulipua kituo cha usafishaji mafuta mjini humo Uvujaji wa gesi hiyo imerikodiwa kuwa mara 100 ya kiasi kile cha...
10 Reactions
108 Replies
6K Views
Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kuwa kuna fursa ya kufikia makubaliano ya amani katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na kuongeza kuwa mzozo katika nchi hiyo unasababishwa na msukumo...
2 Reactions
4 Replies
472 Views
Mnangagwa aachiwa huru Nchini Zimbabwe, Mhariri wa Gazeti huru la Zimbabwe Independent Faith Zaba, aliyekamatwa wiki hii kwa kuandika na kuchapisha makala ya kumkosoa Rais Emmerson Mnangagwa...
1 Reactions
6 Replies
432 Views
Museveni siku hizi amelegea, makobaz ameyaachia yanaanza kuzagaa na yanamshika kidevu, hili ni tukio la pili mwanamke kujilipua bomu. Kuna lile la kwanza ambapo mwanamke na mwanaume walilipukiwa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Siku chache baada ya kutoa ushahidi wake mbele ya Kitengo cha Uhalifu Dhidi ya Binadamu katika Mahakama Kuu ya Paris, familia ya Bongo inaendelea kusisitisha madhila na mateso waliyoyapata kutoka...
3 Reactions
10 Replies
664 Views
Maafisa wa uhamiaji wa Marekani wamemkamata mshambuliaji maarufu wa ndondi wa Mexico Julio Cesar Chavez Jr, mwenye umri wa miaka 39, na wana mpango wa kumrejesha Mexico ambako ana "kibali cha...
2 Reactions
7 Replies
505 Views
Hamas inasema inashauriana na makundi mengine ya Wapalestina kabla ya kutoa jibu rasmi kwa pendekezo la hivi punde la usitishaji vita upya huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka lililotolewa na...
2 Reactions
4 Replies
405 Views
Wakuu, Huko nchini Marekani, Chama cha Democrats kimemteua Zohran Mamdani, mwenye asili ya kutoka Uganda na India, kuwa mgombea wake katika kinyang’anyiro cha Umeya wa Jiji la New York baada ya...
1 Reactions
6 Replies
972 Views
Urusi imekuwa nchi ya kwanza duniani kutambua rasmi serikali ya Taliban nchini Afghanistan, takriban miaka 4 baada ya kundi hilo kurejea madarakani mnamo Agosti 2021. Moscow imesema itashirikiana...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya...
4 Reactions
85 Replies
4K Views
Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House. Trump...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka Yafuatayo ni maandishi ya mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati Steve Witkoff...
1 Reactions
11 Replies
755 Views
Dunia imechoshwa na hawa Wazayuni Walioeneza ushoga na usagaji na ponografia ni wao Ni mawakala wa Vita Dunia nzima Ni waasisi wa Ubaguzi wa Rangi dunia nzima Ni waasisi wa chuki na...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Madhara ni makubwa mno, hii ndo lists ya hasara walizopata Israel katika vita vyake vya siku 12 na Iran 1.Zaidi ya Waisrael elfu 18 wamebaki bila makazi hapo ni Telaviv tu 2.Hasara ya Trilioni...
18 Reactions
83 Replies
4K Views
Wakuu, Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330. Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema...
14 Reactions
41 Replies
2K Views
Back
Top Bottom