International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake mwezi ujao, na kutishia kulipiza kisasi dhidi ya mataifa ambayo...
0 Reactions
6 Replies
719 Views
Je Israel wanataka Ndege vita za kimkakati B-2? Netanyahu: Bila shaka tungependa kuwa nao! Lakini tunashukuru msaada wote tunaopokea kutoka Amerika.
1 Reactions
3 Replies
322 Views
Imamu Muislamu nchini Ujerumani amesema: “Mara tu unapofika peponi, mabikira 72 watakuwa wanakusubiri. Utakapomalizana na bikira mmoja, mwingine atakuwa tayari kwa ajili yako. Wale mabikira...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Jukwaa la Wapiganaji Waliojeruhiwa limetoa taarifa kumtaka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu asikubali makubaliano yoyote ya Gaza ambayo hayaleti "ushindi kamili" dhidi ya Hamas. "Tulijitolea kwa...
2 Reactions
4 Replies
276 Views
Mojawapo ya ajenda ambazo Trump alitamba nazo sana wakati wa kampeni zake za kugombea urais awamu ya pili ni pamoja na kuweka wazi mafaili ya mauaji ya Rais John F Kennedy na kuweka hadharani...
0 Reactions
4 Replies
468 Views
Wanajeshi watano wa Israel wameuawa katika shambulio la bomu Ukanda wa Gaza. Uchunguzi wa awali wa jeshi la Israel umeonesha wanajeshi hao waliuwawa Jumatatu jioni kwenye eneo linalofahamika kama...
0 Reactions
4 Replies
490 Views
Elon Musk alitishia kuanzisha Chama Cha Siasa endapo muswada wa BBB utakaoongeza gharama za maisha utapitishwa na Bunge Je Unadhani kuna Siku Rostam Aziz anaweza kuanzisha Chama Cha Siasa...
2 Reactions
9 Replies
779 Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema amempendekeza Rais Trump kwa tuzo ya Amani ya Nobel na kwamba ameshatuma barua kwa kamati ya tuzo ya Nobel juu ya pendekezo lake hilo. Rais wa...
0 Reactions
14 Replies
741 Views
Baada ya serikali ya DRC kuongeza wanajeshi na mercenaries kutoka Marekani na Ulaya, taarifa za awali, zinasema AFC/M23 imeshazingira Uvira. Rais wa DRC amesema atahakikisha Kivu zote zinarudi...
4 Reactions
18 Replies
970 Views
Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko...
7 Reactions
89 Replies
4K Views
Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk. Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Julai 7, ameahidi kutoza ushuru wa forodha wa angalau asilimia 25 kwa nchi kadhaa, zikiwemo Japani na Korea Kusini, washirika wawili wakuu wa Asia...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumatatu kwamba Marekani itatuma silaha zaidi nchini Ukraine. Wiki iliyopita , Pentagon ilitangaza kuwa inasimamisha usambazaji kwa Ukraine, na msemaji wa...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: "Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu." “Mytake” Ikiwa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumapili Julai 6, 2025 ametangaza kwamba ataweka ushuru wa mpya wa 10% kwa nchi zinazoambatana na sera za BRICS "za kupinga Marekani".Rais wa Marekani Donald...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Irani (ambaye aliangamizwa katika shambulizi la ufunguzi wa Operesheni ya "Simba Anayeinuka"), alisema katika mahojiano...
2 Reactions
2 Replies
456 Views
Trump (akitabasamu kuhusu Two State Solution (Suluhisho la Mataifa Mawili): "Hapa ameketi mtu bora zaidi kujibu swali hilo la zamani kwa uaminifu-Bibi, waambie!" Netanyahu: Hatutawahi kuwapa...
2 Reactions
0 Replies
238 Views
Mamlaka ya Pakistan imesema imekamata simba 18 waliokuwa wakifugwa kama wanyama wa nyumbani. Maafisa wamesema siku ya Jumatatu walipoanzisha msako baada ya simba mmoja kutoroka kutoka nyumba...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
Nimeikuta huko YT Inaelekea ni hotuba ya hivi karibuni jamaa anahutubia wananchi wake mahala flani Maswali ni mengi Anadai "we have capacity you don't know" Nani anafokewa hapa...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
China kwa sasa ni mzalishaji mkubwa wa vifaa vingi muhimu na vya hali ya juu vinavyoweza kutumika kutengeneza silaha za hali ya juu zaidi. China ina uwezo mkubwa katika critical technologies na...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom