Je tunaweza kumtambua kagame kama kiranja wa ujasusi ukanda wa maziwa makuu , na kusini mwa jangwa la Sahara?
Tumeona umairi wake uko goma, kushirikiana na M23, tumeona akipeleka vikosi vyake...
Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi...
Sheikh Jaabari na masheikh wengine wanne wakuu wa Hebron wametia saini barua ya kuweka amani na kuitambua Israel kama taifa la Kiyahudi. Mpango wao ni kuvunja Hebroni mbali na udhibiti wa Mamlaka...
Rais wa Marekani Donald Trump alisema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kwa ajili ya ulinzi wake, baada ya kuzungumza na Rais Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa, na kueleza kukatishwa tamaa na...
Mkuu wa Hezbullah anasema kundi la Lebanon bado liko wazi kwa amani, lakini halitasalimisha silaha zake , hadi pale Israel atawacha mashambulizi yake ya anga na kuondoka kusini mwa Lebano, pia...
Rais wa Marekani Donald Trump, amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo.
Trump...
Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa
Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE
Mwaka Jana...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Kundi la Wanamgambo wa Kipalestina la Hamas linatafuta mabadiliko "yasiyokubalika" kwa pendekezo jipya la kusitisha mapigano huko Gaza Ukanda...
Netanyahu, akiondoka kwenda Washington DC: Tunafanyia kazi mpango wa Gaza kwa masharti yetu, Hamas haitakuwepo milele nafasi ya kupanua mapatano ya amani lazima yaende kwa Kasi sana!!
Kabla ya...
Usitishwaji mwengine wa vita kati ya Israel na Hamas unanukia na utatangazwa karibuni baada ya Hamas kutoa jibu lake hapo jana kuhusiana na pendekezo la usitishwaji wa vita wa siku 60...
Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa...
Israel ni hatari sana, yaani wanasababisha mzee kama huyu na gauni lake ajifiche na kuishi kwenye shimo kama fukwe, tena ndani ya nchi yake, ukizingatia yeye ndiye kiongozi mkuu wa magaidi yote ya...
Rais wa Marekani Donald Trump amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo.
Trump amemtaja...
Kremlin ilisema haioni njia ya haraka na ya kidiplomasia ya kumaliza vita dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya kuzindua mashambulizi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani na...
Aliyekuwa Kanali wa Jeshi la Iran amehukumiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kosa la kuacha Uislamu na kuwa Mkristo.
Mahakama ya kijeshi ya Tehran imemhukumu mchungaji Mkristo wa Iran Hamid...
Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia ya Kidijitali na Ubunifu, Samuel Nartey George (MB) ametoa wito kwa Multichoice Ghana kutekeleza punguzo la 30% la bei za usajili wa DSTV, akitaja kuimarika kwa...
https://video.a7.org/media/a7radio/misc/video/25/jul/video5996852085654558388.mp4
Am sure Iran kipigwa sana hadi kulia lia eti walipwe fidia.
Ndio Maana Israel walikuwa wanatoa kabisa kwa Raia...
Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Jenerali Assimi Goïta amepewa muhula wa urais wa miaka mitano na bunge la mpito, ambao anaweza kupewa tena bila kufanyika kwa uchaguzi.
Kiongozi huyo wa kijeshi...
Haka kainchi kanazidi kuneemeka ndio maana Waarabu wamekubali yaishe wanatia Saini mkataba wa Abrahams accord, sasa itabaki makobaz Waafrika na chuki zao walizoaminishwa.
Kubwa lao Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.