International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

In the wake of President Trump's brokered 60-day cease-fire between Israel and Hamas, global eyes turn to assess the true cost and consequence of Israel’s military campaign in Gaza. Beyond...
1 Reactions
2 Replies
413 Views
Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
#UNAAMBIWA Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aitwaye Mark Muradzira, alipanda Milimani peke yake kwa lengo la kufunga kwa siku 40 bila kula wala kunywa chochote ili maombi yake yasikike kwa Mungu...
2 Reactions
21 Replies
831 Views
Meli ya Magic Seas iliyokuwa ikielekea Israel kupitia Bahari Nyekundu, ilitekwa mapema siku ya Jumapili, kisha kushambuliwa na mabomu/makombora mpaka kuzama Hii ni meli ya kwanza kushambuliwa...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya X, Linda Yaccarino, ametangaza kujiuzulu ghafla Julai 9,2025 miezi michache tu baada ya kampuni hiyo kutawaliwa na xAI — kampuni ya akili bandia inayomilikiwa na...
0 Reactions
6 Replies
998 Views
Mwandishi aliyefungwa raia wa Iran ametoboa siri na amesema siku akitoka Jela ndio ataweka wazi kila kitu kuhusu Uhusiano wa siri wa Israel na Iran unavyowanufaisha Israel,Iran na Marekani. kwa...
5 Reactions
147 Replies
24K Views
Wapopo wamefanya Nini mpaka wamepigwa marufuku kuingia Dubai?
0 Reactions
2 Replies
367 Views
“THESE CRIMES ARE AIMED AT WEAKENING THE STATE”, SAYS CRIMINALIST PAULO DE SOUSA https://m.youtube.com/watch?v=SwfLhnHwpOA “THESE CRIMES ARE AIMED AT WEAKENING THE STATE”, SAYS CRIMINALIST PAULO...
0 Reactions
4 Replies
476 Views
Meli moja kubwa ya mizigo ikielekea Israel kupitia Red Sea imepigwa kwa njia tofauti kulazimsiha mabaharia wote kujiokoa wakiicha meli hiyo ikiwaka na kunywa maji. Njia zilizotumika ni kutumia...
25 Reactions
129 Replies
5K Views
Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine imekumbwa na shambulizi kubwa zaidi kuwahi kutokea la anga kutoka Urusi, ndege zisizo na rubani 728 na makombora 13 ya baharini au ya balistiki yalipiga...
4 Reactions
1 Replies
489 Views
Majeshi ya israel yanaendelea na kuisawazisha Gaza ili iwe sehem salama kuishi watu leo hii ni zamu ya Beit Hainoun kusawazishwa!!!!
1 Reactions
3 Replies
348 Views
Prof Oghenetega Ighedo made history as the first Black woman to earn a PhD in Pure Mathematics from the University of South Africa (UNISA) in its 148-year existence. The Nigerian-born...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametishia kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa muungano wa mataifa tisa wa BRICS iwapo yataunda sarafu pinzani dhidi ya dola ya Marekani. "Wazo kwamba Nchi za...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa leo Jumatatu amelaani tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS, akisema juhudi za Trump za "kuuadhibu" umoja huo...
1 Reactions
9 Replies
720 Views
Maungamo ya Dhahiri ya Hezbollah Katibu Mkuu wa magaidi wa Hezbollah, Naim Qassem, alitoa hotuba ya kustaajabisha na isiyo ya kawaida, iliyojaa ukiri na ufahamu wa kibinafsi kuhusu udhaifu wa...
1 Reactions
12 Replies
604 Views
Taarifa zilizokusanywa na Satellite kutoka chuo kikuu cha Oregon Marekani zimeonesha makombora ya Iran yalifanikiwa kupenya mifumo ya ulinzi anga ya Israel na kushambulia kambi 5 za IDF pamoja ni...
21 Reactions
177 Replies
6K Views
Roman Starovoyt, waziri wa usafirishaji wa Urusi amekutwa amekufa kwa kujipiga risasi masaa machache baada ya kutimuliwa na Putin. Kamati ya Upelelezi ya Urusi siku ya Jumatatu imethibitisha kifo...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua. Katika mahojiano na mchambuzi wa Marekani Tucker Carlson, Pezeshkian alisema, "Walijaribu, ndiyo. Walitenda ipasavyo, lakini...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe! Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom