International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Jenerali Assimi Goïta amepewa muhula wa urais wa miaka mitano na bunge la mpito, ambao anaweza kupewa tena bila kufanyika kwa uchaguzi. Kiongozi huyo wa kijeshi...
1 Reactions
5 Replies
416 Views
Haka kainchi kanazidi kuneemeka ndio maana Waarabu wamekubali yaishe wanatia Saini mkataba wa Abrahams accord, sasa itabaki makobaz Waafrika na chuki zao walizoaminishwa. Kubwa lao Iran...
2 Reactions
6 Replies
765 Views
Wakati Rais wa Sudani Kusini Salva Kiir akifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu nje ya nchi baada ya miaka mingi ya uvumi kuhusu afya yake, wachambuzi wanasema kuna mpango wa muda mrefu kuhakikisha...
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Jimmy Lee Swaggart muhibiri kutoka Nchini Marekani na Mjuzi wa muziki. Nilichelewa kumjua Jimmy Swaggart lakini Punde baada ya kumfahamu uelewa wangu juu ya maandiko Matakatifu, juu ya msalaba na...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Urusi imekuwa nchi ya kwanza kuutambua rasmi utawala wa Taliban, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan Amir Khan Muttaqi akiuita uamuzi wa "ujasiri". Alikutana na balozi wa Urusi nchini...
1 Reactions
1 Replies
321 Views
Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii...
35 Reactions
197 Replies
7K Views
Daniel Edri 24 ambae alikuwa ni mwanajeshi wa Israel amejiua kwa kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake kutokana na kusumbuliwa na msongo wa mawazo baada ya kurejea nchini Israel akitokea vitani...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa...
3 Reactions
21 Replies
920 Views
Musk, tajiri namba moja duniani na mfadhili mkubwa wa kisiasa wa Trump katika uchaguzi wa 2024, avunja uhusiano na Rais na kuanzisha chama cha kisiasa kipya Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniani...
2 Reactions
59 Replies
3K Views
BREAKING: IDF na ISA zimwemwangamiza gaidi wa Lebanon Qasem Salah al-Husseini, msaidizi mkuu anayefanya kazi katika Kikosi cha Quds cha Iran. Al-Husseini alikuwa nyuma ya ulanguzi wa silaha kutoka...
4 Reactions
22 Replies
906 Views
Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD). Kiasi cha kuchukua maamuzi ya...
2 Reactions
9 Replies
483 Views
Habari zenu Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso: na hii ni Ripoti tangu kuchukua uongozi wa Taifa hilo la Afrika Magharibi 1. GDP ya Burkina Faso iliongezeka kutoka karibu dola...
34 Reactions
105 Replies
6K Views
Hii ni extract kutoka Makala ya BBC, kuhusu Deni la Marekani; (Wengi wanaweza kusema kwamba hayatuhusu, ila ukweli ni kwamba Mchuma Janga hula na Wakwao; na Hapa Wakwao ni Dunia)... Simon Jack...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kiongozi mpya wa Hezbollah, Naim Qassem, amesema kundi lake halitoweka chini silaha wala kujisalimisha licha ya vitisho vya Israel. Akihutubia maelfu ya wafuasi wake wakati wa maadhimisho ya...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Viongozi wa kundi la madola yanayoinukia kiuchumi ulimwenguni – BRICS wanakutana mjini Rio de Janeiro kuanzia Jumapili. Wanatarajiwa kukashifu sera kali za kibiashara za Donald Trump. Mataifa...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Jeshi la Urusi limesema Jumapili kuwa limechukua udhibiti wa vijiji viwili mashariki mwa Ukraine cha Piddubne katika mkoa wa Donetsk na Sobolivka katika mkoa wa Kharkiv. Ukraine haijatoa tamko...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Wiki moja baada ya bilionea wa Marekani, Elon Musk kutangaza kujiondoa katika Serikali ya Rais Donald Trump, uhusiano wao umeendelea kutetereka kiasi cha wawil hao kulumbana mitandaoni. Musk...
15 Reactions
73 Replies
5K Views
Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini ) Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei amewateua makasisi watatu kama...
12 Reactions
63 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, EXCLUSIVE Khamenei and his family hiding in bunker in Lavizan northwestern of Tehran, sources say 21 minutes ago Iran's Supreme...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuingia madarakani kwa mara ya pili kwa raisi Donald Trump kuna dalili zote za kuwepo kwa mkono wa Mungu ili kuliangamiza taifa la Marekani na Israel kwa namna za kimiujiza. Kwa raisi Trump na...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom