Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,000
- 7,618
Jukwaa la Wapiganaji Waliojeruhiwa limetoa taarifa kumtaka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu asikubali makubaliano yoyote ya Gaza ambayo hayaleti "ushindi kamili" dhidi ya Hamas.
"Tulijitolea kwa ushindi," wasemaji wa zamani.
Wanasisitiza kuwa sasa si wakati wa kusitishwa kwa mapigano, kwani kutaipa tu nafasi Hamas na muda wa kujirekebisha. Wamelitaka jeshi lao wafanye kazi waliyotumwa kutokomeza magaidi.
Pia waliwataka wanasiasa Waliache Jeshi IDF lifanye kazi yake lisiingiwe na maamuzi ya ki siasa.