Hamas waangamizwa na Drones za Israel

Hamas waangamizwa na Drones za Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
8,997
Reaction score
7,616
HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA: Ndege isiyo na rubani ya Israel yaona magaidi wawili wakiwafyatulia risasi wanajeshi wa IDF kaskazini mwa Gaza na kuwaangamiza.

Mbona hao hamas hawaishi? kila thread/post wameangamia, mbona hawaishi?
Dozi wataendelea kupewa mpaka waishe kabisa nanyi acheni tu kelele za kulalamika na kusingizia watoto ili majeshi ya Israel yafanye kazi inayotaliwa ya kuwanyoosha magaidi!!!
 
Israel ni dhaifu sana kila siku inapambana na kikundi cha watu ambao hawafiki hata 500 ila hawawamalizi.

Ndo nimeelewa kwanini walianza kumchokoza Iran wao na wakaanza kuomba amani wao wenyewe
 
Hawa Hamas ni Iran et al. Kule wanajifanya wamekubaliana lakini wanajificha kwenye hamas
 
Israel ni dhaifu sana kila siku inapambana na kikundi cha watu ambao hawafiki hata 500 ila hawawamalizi.

Ndo nimeelewa kwanini walianza kumchokoza Iran wao na wakaanza kuomba amani wao wenyewe
Naona umeshiba maharage ya jana “eti hawafiki 500”!!!!
 
Mbona hao hamas hawaishi? kila thread/post wameangamia, mbona hawaishi?
Gaza wanaume kuanzia miaka 12 Wana ushirikiano na Hamas Kwa njia Moja au nyingine labda waanze kijitenga sasa hivi baada ya Hamas kupigika.Wengine huvaa kiraia.Kwa hiyo acheni kulaumu Israel kuuwa raia huko Gaza 🤔
 
Back
Top Bottom