International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa Ghana iko tayari kufadhili uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (drones) za Ukraine, baada ya mazungumzo ya simu na Rais wa Ghana, John Dramani...
0 Reactions
3 Replies
649 Views
Usitishwaji wa usambaji wa mafuta katika injini ya ngede kabla ya kuanza safari imetajwa kama sababu ya iliyosababisha ajali ya ndege ambayo imeua watu takriban 260 hii ni kwa mjibu wa ripoti ya...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Aliyeweka hii Sauti alaaniwe vikali
3 Reactions
15 Replies
931 Views
Hagia Sophia, or “Holy Wisdom,” is one of the world’s most innovative architectural marvels. The building, located in present-day Istanbul, Turkey, embodies a complex history of conversion, both...
2 Reactions
3 Replies
810 Views
Aliyekuwa mbabe wa kivita wa Liberia Prince Johnson, ambaye alisimamia mauaji ya kikatili ya aliyekuwa Rais Samuel Doe wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotikisa nchi hiyo, kabla ya kuwa...
4 Reactions
80 Replies
6K Views
Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Mwisho wa mwaka huu haujawa mzuri kwa Pentagon na defense contractors wake, kwa ujumla unaweza kuwaita U.S MIC (U.S Military Industrial Complex) Mapema mwezi Novemba kwenye Zhuhai Air show China...
32 Reactions
149 Replies
8K Views
Iran imerusha makombora katika kambi ya jeshi la Marekani nchini Qatar, ikisema kuwa ni kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki. Mashuhuda...
1 Reactions
4 Replies
741 Views
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya anga tangu vita hivo vya zaidi ya miaka mitatu kuanza.katika mashambulizi hayo yaliotokea usiku wa july 9 urusi imevurumisha ndege zisizo na rubani takribani...
18 Reactions
58 Replies
4K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai: "Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri...
22 Reactions
59 Replies
3K Views
Uchambuzi wa Kisiasa wa William Ruto: Msururu wa Usaliti? Maisha ya kisiasa ya William Ruto nchini Kenya yamekuwa na alama ya miungano ya kimkakati na migogoro mikubwa ya kisiasa, mara nyingi...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️ 1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt 2. 🇮🇳 India – 149 Mt 3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt 4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt 5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt 6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt 7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt...
9 Reactions
96 Replies
3K Views
Utawala wa Trump umetangaza kwamba unamwekea vikwazo Francesca Albanese, mpelelezi huru aliyeteuliwa kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu katika maeneo ya Wapalestina, ikiwa ni juhudi ya hivi...
1 Reactions
13 Replies
731 Views
Majeshi ya Israel yaendelea kuisawazisha Khan younis katika vita vyake na magaidi w Hamas!!!
0 Reactions
3 Replies
384 Views
Senior Israeli official: Intel shows Iran didn’t remove enriched uranium from sites hit by US, Israel https://www.timesofisrael.com/liveblog-july-10-2025/
1 Reactions
80 Replies
3K Views
Wafanyakazi sita wameokolewa na takriban wengine watatu kufariki dunia baada ya meli ya mizigo kushambuliwa na Wahouthi wa Yemen na kuzama kwenye Bahari ya Shamu, ujumbe wa wanamaji wa Ulaya...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Duru zinasema kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel ikiwa ni sehemu ya majadiliano ya sasa ya kusitisha vita kwa muda wa siku 60. Hata hivyo bado...
0 Reactions
5 Replies
473 Views
Huku tukidhani kuwa air defense ya Iran imemalizwa nguvu, leo Iran imefanikiwa kudungua ndege mbili aina ya F-35 ambazo ni stealth (Hazionekani katika radar). Hatma ya Marubani wa ndege hizo...
7 Reactions
86 Replies
6K Views
Hawa jamaa wanadhani kila mtu ni mjinga asilimia 73 ya wahitimu wa masomo ya vyuo vikuu ni wanawake na asilimia kubwa ya walioajiriwa karibia idara na fani nyeti ni wanawake. Iran wanawake...
9 Reactions
56 Replies
1K Views
Kutoka BBC Swahili 10 Julai 2025 Habari za magazeti ya Uingereza zinaangazia wasiwasi unaoongezeka kuhusu machafuko ya ndani nchini China, huku kukiwa na ripoti za mvutano kati ya Rais Xi Jinping...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Back
Top Bottom