The search for injured people is hampered by a continuous current of ashes.
Seven people have been killed after a volcano in western Indonesia erupted, blasting clouds of volcanic ash 3km (2...
Mexico imeidhinisha kuhamishiwa Marekani mlangunzi mkuu wa madawa ya kulevya, Joaquin Guzman, almaarufu El Chapo, ili ashtakiwe kwa mauaji na ulanguzi wa madawa ya kulevya.
Wizara ya Mashauri ya...
The Zika virus which has infected more than 7,500 people in an island nation off the western coast of Africa is the same strain spreading through the Americas.
Today, the World Health...
Kwa taarifa za ghafla zilizo ufikia ulimwengu ni kwamba kuna milio ya Risasi nje ya Ikulu ya Marekani. Walinzi wa Ikulu wameeleza kushtukizwa na tukio hilo na FBI na CIA wapo kazini.
Nitawajuza...
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba hakuna sababu hata moja itakayoifanya nchi yake kumkamata rais wa Sudan Omar al-Bashir ikiwa ataalikwa kuhudhuria kikao cha Umoja wa Afrika...
Ndege ya kibinafsi ya mfalme wa Swaziland Mswati wa tatu, imezuiwa nchini Canada kwa mara ya pili ndani ya miaka miwili kutokana na mzozo wa deni.
Ndege hiyo ilizuiwa kama sehemu ya kesi iliyo...
Ndege hii ikitokea Ufaransa kwenda Misri imepotea baada ya kuingia tu katika anga la Misri. Bado inatafutwa, Mara ya mwisho kuonekana katika radar ilikuwa 37,000 ft
Hapakuwa na mawasiliano yoyote...
Umri wa kuishi barani Afrika unaongezeka kwa haraka ikiwa ni maradufu sawa na maeneo mengine duniani kulingana na shirika la afya dunia WHO.
Rwanda ndiyo inayoongoza Afrika Mashariki, umri wa...
By Harriet Salem
May 20, 2016 | 7:45 pm
Israeli Defense Minister Moshe Yaalon resigned on Friday, saying that "extremist and dangerous elements" had hijacked the nation after the country's Prime...
Russia have warned that the Chinese government are planning a series of food supply rationing initiatives in 2017, which will prevent citizens from accessing food grown in their own country...
Stay in bed and smoke different kind of cannabis for 70 days for NASA's space studies and get paid 18,000dollars.Can you?
======================
NASA will pay you 18000 USD to stay in bed and...
Nimekuwa nikitembelea mitandao tofauti kuangalia viwango vya elimu vya vyuo tofauti tofauti duniani. Na kila taasisi huwa wana vigezo Mara nyingi visivyopunguwa vinne. Taasisi kubwa...
Mama apanga kufunga ndoa na mwanae.Mama na mwana wanasema wana mahusiano ya kimapenzi kwa kipindi sasa, wameamua kuyapeleka mahusiano yako juu zaidi kwa wao pamoja kufunga ndoa.
Kitu...
Imetokea huko nchini Peruu, Bara la Amerika ya Kusini ambapo watoto wa shule takriban mia wamepandwa na kiwewe cha mashetani. Katika tukio hilo watoto wa shule waliweweseka, Walianguka ovyo...
A second schoolgirl from the more than 200 seized in the Nigerian town of Chibok has been found, the army says.
Spokesman Col Sani Usman said Serah Luka was among 97 women and children rescued by...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema linaunga mkono kikamilifu mpango wa kufanyika uchaguzi mkuu nchini Somalia.
Baraza hilo limesema liko tayari kuunga mkono kwa hali na mali, uchaguzi...
Msako uliotokea kwenye nyumba ya makahaba (brothel) huko Petersburg, Russia ambapo malaya 11 walikamatwa pamoja na wateja wao walitembezwa uchi kwenye mtaa wa mji huo na baadae kuswekwa kwenye...
Wanajeshi 32 wa serikali ya Libya wameuawa katika makabiliano na wanamgambo wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS na katika mripuko wa gari uliosababishwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga...
Ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-52 imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka kwenye kambi ya taifa hilo eneo la Guam.
Jeshi la Marekani limesema wanajeshi wote saba waliokuwa kwenye ndege...
Duru za kampuni ya ndege ya EGYPTAIR zimesema kuwa wizara ya usafiri wa anga nchini humo imepokea barua rasmi kutoka kwa wizara ya maswala ya kigeni nchini Misri inayothibitisha kupatikana kwa...