thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,827
- 4,757
Nimekuwa nikitembelea mitandao tofauti kuangalia viwango vya elimu vya vyuo tofauti tofauti duniani. Na kila taasisi huwa wana vigezo Mara nyingi visivyopunguwa vinne. Taasisi kubwa zinazotambuliwa duniani ni
1.Times Higher Education
2.World Ranking (shanghai ranking)
3. University Ranking by Academic Performance (URAP).
Sasa kila ukitafuta ranks by country ukichagua Tanzania utakuta ranks ni Kama ifuatavyo.
1. University of Dar es salaam (UDSM).
2. Sokoine University of Agriculture (SUA).
Vyuo vingine havionyeshwi, tatizo ni nini kwa vyuo vingine mpaka visionekane kwenye ranks za kidunia maana hata ranks ya vyuo tajwa hapo juu kidunia si nzuri huwa unaweza kuvikuta 1500+,Tanzania kuna vyuo zaidi 40 iweje vionekane vyuo viwili tu?
URAP - University Ranking by Academic Performance