Kagame: Hatuwezi kumkamata Bashir

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba hakuna sababu hata moja itakayoifanya nchi yake kumkamata rais wa Sudan Omar al-Bashir ikiwa ataalikwa kuhudhuria kikao cha Umoja wa Afrika kitakachofanyika nchini Rwanda mwezi Julai mwaka huu.

Rais Bashir anasakwa na mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita (ICC) kwa tuhuma za uhalifu wa kivita na mauaji katika jimbo la Darfur.
Rwanda si mwanachama wa mahakama ya ICC.
 
Unahitaji ushahidi tofauti zaidi ya ule wa serikali ya Burundi na taasisi ya umoja wa kimataifa? Kama hakuna ushahidi mbona serikali yenu inahangaika kujibu kwa propaganda. Utaweza kuhangaika kuufuta ushahidi kwa kile ambacho hujakifanya?
lol... ushahidi upi? ndio maana nakuambia usiwe unakurupuka kuropoka bila ya kuelewa jambo vizuri? na usije ukafikiri REUTERS itakutibu huo ugonjwa wako hata siku moja! hao hao unaowaamini (GoE) wenyewe wamekili kwamba waweza kuwa walikuwa manipulated na hao "WAKIMBIZI" alafu Reuters inajifanya eti imeangukia issue wakati si lolote! cha pili wameshindwa kupatia UNHCR majina ya hao wakimbizi kusudi wayafananishe na wakimbizi waliopo Rwanda... HOLA! na UNHCR haina mkimbizi aliyekosekana makambini, hapo sasa... niendelee kuzidhalilisha FIKRA zako mkuu, au niachie hapo? vyuma
 
Kagame hataki kumkamata Bashir ambaye anatakiwa na mahakama ya kimataifa ya ICC kwa makosa ya "genocide and war crimes", lakini kagame huyo huyo kila siku anaua wahutu DRC akidai ni genocidaires licha ya kwamba hawana kesi katika mahakama yoyote ile duniani kuhusiana na genocide! Nonsense! Ukweli ni kuwa ndege wa pamoja huruka pamoja. Bashir na kagame ni ndugu moja.
 
Teh teh teeh unatumia nguvu nyingi kubadilisha ukweli kuwa uongo. Hiyo ripoti ya Reuters hata sijaiona, unajaribu kuandika mambo mengi kwa wakati mmoja ili kuupoteza ukweli. Jambo la msingi msiingilie Burundi katika siasa zake.
Ona sasa! Report haujaziona? Sasa kwa nini unaruka kutukaba koo? Chuki, ujinga au kuna maslahi yako?
 
Hiyo Reuters ndio chanzo pekee cha kuandika ripoti kuhusu Rwanda? Ripoti za UN na taarifa kutoka Burundi huwa huzioni? Nifuatilie Reuters wakati maafisa wa serikali ya Burundi kila siku wanalalamika kuhujumiwa nchi yao na Kagame? Hazikutoshi naona au lugha ni tatizo.!
Ah we bana! Sasa kurudia uongo mara nyingi ndio ufanya jambo kugeuka ukweli? Burundi wamepagawa baada ya kuona tumewashtukia mchezo wao na FDLR... aliye wachongea dili hivi anakula bata, baada ya kuzawadiwa kazi mpya na AU... kwa kifupi kama kweli unaendeshwa na kutoelewa mambo basi kaa ukijuwa Nkurumbi haibu ndio zinamsuta, anakumbuka tulivyomsaidia miaka yote hadi kumlipia gharama za kuingiakwenye EAC, nafsi inamsuta baada ya kuona tumemshtukia urafiki wao na FDRL na wafaransa... lala usinzie, hakuna lolote!
 
Kagame hataki kumkamata Bashir ambaye anatakiwa na mahakama ya kimataifa ya ICC kwa makosa ya "genocide and war crimes", lakini kagame huyo huyo kila siku anaua wahutu DRC akidai ni genocidaires licha ya kwamba hawana kesi katika mahakama yoyote ile duniani kuhusiana na genocide! Nonsense! Ukweli ni kuwa ndege wa pamoja huruka pamoja. Bashir na kagame ni ndugu moja.
Hahaha kweli wewe kairudisha
 
asante kwa hilo tusi whatever it means, lakini hebu tuambie uhalali wa kutomkamata Bashir anayetafutwa na ICC for genocide vs kuua FDLR for imaginary genocide!
Hahaha..imaginary genocide. Sasa hilo ndio tusi. Sisi sio signatory wa ICC. Haituhusu. Subiri akija TZ mmkamate
 
Hahaha..imaginary genocide. Sasa hilo ndio tusi. Sisi sio signatory wa ICC. Haituhusu. Subiri akija TZ mmkamate
kama sio imaginary name ONE case of genocide against ANY FDLR member, pili kuhusu nyie kutokuwa signatories wa ICC, tusaidie tuelewe why then mlimpeleka BOSCO NTAGANDA kwenye mahakama hiyo, tena huyu alikuwa askari wa RPA back in the days! Na vijana wake wa M23 mpaka leo mmewahifadhi...kwa nini huyu mlimpeleka lakini Bashir mnasema hamtaweza? Kwani kesi ya bosco mlikuwa signatories?
 
Hatukumpeleka sisi. Alijisalimisha mwenyewe akaomba apelekwe wakaja kumchukua. Hata bashir akijisalimisha haina shida.
 
Hatukumpeleka sisi. Alijisalimisha mwenyewe akaomba apelekwe wakaja kumchukua. Hata bashir akijisalimisha haina shida.
Okay, thats true, but are you saying hutambui wala kuyapa uzito mashtaka dhidi ya Bashir ambayo yametolewa na mahakama hii?
 
kama sio imaginary name ONE case of genocide against ANY FDLR member, pili kuhusu nyie kutokuwa signatories wa ICC, tusaidie tuelewe why then mlimpeleka BOSCO NTAGANDA kwenye mahakama hiyo, tena huyu alikuwa askari wa RPA back in the days! Na vijana wake wa M23 mpaka leo mmewahifadhi...kwa nini huyu mlimpeleka lakini Bashir mnasema hamtaweza? Kwani kesi ya bosco mlikuwa signatories?
Hata wewe ukijisalimisha we'll be more than happy to take you there
 
Hayatuhusu. We have enough on our plate

What if every country decided not to return interahamwes claiming "hayatuhusu" as well? Anyway let me rephrase the question that you seem to avoid at all cost: was there genocide/war crimes in Darfur or not? If yes, don't you think wahusika wanatakiwa kushitakiwa?
 
Back
Top Bottom