Milio ya Risasi Yasikika Nje ya White House USA

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Kwa taarifa za ghafla zilizo ufikia ulimwengu ni kwamba kuna milio ya Risasi nje ya Ikulu ya Marekani. Walinzi wa Ikulu wameeleza kushtukizwa na tukio hilo na FBI na CIA wapo kazini.

Nitawajuza kadri nitavyopata taarifa.

Updates
......................................................
Police told ABC News that a Secret Service agent shot an armed man at a security checkpoint near the building.

The White House is on lockdown in response to the shooting. President Barack Obama was golfing in Maryland at the time.

Police said the shooting occurred west of the White House and the victim's condition is not known.

The victim is being transported to a local hospital with critical injuries, authorities have said.

Vice President Joe Biden was in the White House at the time.

Source: BBC News

Goodluck Mshana
 
Wanaukumbi.

BBC inaripoti sasa kuwa taharuki imetokea ktk eneo la Whitehouse huku ulinzi ukiimarishwa baada ya kutokea tishio la usalama
 
Patamu hapo!Ngoja tuone ubora wao kwa vitendo maana wakijaga huku kila kitu kinadhibitiwa kuanzia ardhini mpaka angani(kila kitu kinasimama).
 
Obama yupo Maryland,VP Joe Bidden ndio alikuwapo White House. Kuna mtu alijaribu kupita kwenye Checkpoint akiwa na silaha,akamiminiwa zake,sasa kakimbizwa hospitali akiwa mahututi.
Source: CCN
 
Obama yupo Maryland,VP Joe Bidden ndio alikuwapo White House. Kuna mtu alijaribu kupita kwenye Checkpoint akiwa na silaha,akamiminiwa zake,sasa kakimbizwa hospitali akiwa mahututi.
Source: CNN
 
kwny Sept 11, 2001 George Walker Bush ilibidi akafichwe anga la mbali kwa saa 6 baada ya shambulizi la World Trade Centre ndege mbili zilipiga nguzo, Pentagon ilipiga moja na moja ikaanguka ikieleka White house ikabidi Airforce one impeleke Rais anga la mbali kwa saa 6 bila ya kujulikana yuko wapi mpaka hali iliporejea salama. Rais wa Marekani ndio kiumbe hai anaelindwa zaid Ulimwenguni kwa ulinzi wa kibinadamu!
 
Wanaukumbi.

BBC inaripoti sasa kuwa taharuki imetokea ktk eneo la Whitehouse huku ulinzi ukiimarishwa baada ya kutokea tishio la usalama
Habari za bbc zilikuwa za awali kabla ya kujulikana kilochotokea. Hata Obama hakuwa whitehouse wakati secret service alivyompiga mtu risasi za tumbo kwa kuwa alikuwa na silha
 
Ebana eeh ? Na ulinzi wote huo na mbwembwe sijui za manowari ,madege ya kivita akiwa nje ya Marekani ,lao wanamtisha nyumbani kwake anapolala
Kumbe yale mambo ya Genaral Benjamin Juma na Olivia Taylor kwenye 24 series yanawezekana
 
Back
Top Bottom