Ndege ya EgyptAir Airbus MS804 iliyokuwa imepotea na jumla ya watu 69, Imedondokea Mediterranean Sea

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,841
1,843
Ndege hii ikitokea Ufaransa kwenda Misri imepotea baada ya kuingia tu katika anga la Misri. Bado inatafutwa, Mara ya mwisho kuonekana katika radar ilikuwa 37,000 ft

Hapakuwa na mawasiliano yoyote kutoka kwa rubani kama ndege ina tatizo la kimfumo, ground controller wanasema kila kitu kilikuwa kama kawaida mpaka inapotea.

image.jpeg


=======
A further update from EgyptAir:

It confirms that 56 passengers were on board, including one child and two babies

It says the captain has 6,275 flying hours, including 2,101 on the A320; the copilot has 2,766.

===>
What we know so far
  • Flight MS804, en route from Paris Charles de Gaulle to Cairo, has disappeared from radar.
  • The plane, an Airbus A320, left Paris at 11.09pm on Wednesday night (21.09 GMT/22.09 BST/07.09am Thursday AEST).
  • The airline said contact was lost around 16km/10 miles inside Egyptian airspace at 2.45am local time (00.45 GMT/01.45 BST/10.45 AEST).
  • The plane was carrying 56 passengers and 10 crew: two cockpit crew, five cabin crew and three security personnel. The airline said two babies and one child were on board.
  • Search and rescue efforts are underway at the site where contact was lost, around 50-65km (30-40 miles) north of Egypt’s coast.
  • The plane, on its fifth journey of the day, was travelling at 37,000 feet when it disappeared from radar.
  • EgyptAir says the captain has 6,275 flying hours, including 2,101 on the A320; the copilot has 2,766. The plane was manufactured in 2003.
  • There is no detail yet on possible reasons for the plane’s disappearance.
================
EgyptAir flight MS804 crash may have been caused by an explosive device, experts say


Aviation and security experts have suggested that the disappearance of an EgyptAir flight from Paris to Cairo may have been caused by an explosive device.

There have been conflicting reports about whether the plane sent an emergency distress signal.

Air travel expert Julian Bray said no alert being made could mean the airliner suffered a "catastrophic failure" possibly as a result of an explosion.
 
Yale yale...
Pengine kuna Alliens wameidaka juu kwa juu wakaipeleka anga za mbali!
Duuh! Abiria wote wawe na wakati mzuri huko walipo...
 
Ila im strong convinced that inawezekana ISIS have something to do na hiyo upotevu wa hiyo ndege,maana huo ukanda ni hatari;Tusubiri kwa habari zaidi
 
Basi tena,ndege ikishapotea kwenye radar tu basi,hapa Mungu asaidie tu wapate mabaki na black box,

Mh....

Siku hizi ndege zinapotea sana, kwanini??

View attachment 348823 View attachment 348823 Mkumbuke hizi ndege hata wabongo wanazipanda sana mimi mwenyewe nishaipanda hii from paris to cairo then nikaunganisha nyingine to dsm
Note: haikuonekana kwenye radar ikiwa imebakisha dakika 20 ifike cairo
Jamani naomba kueleweshwa, kama kuna wataalamu wa anga wasaidie kufahamu.

1. 15minutes baada ya taking off, inaweza kuwa ni umbari wa Dar to Zanzibar au around Bagamoyo/ Wami, Je jamaa - pilot hawezi manoeuvre geuza kwa namna yake kurudi JNIA? (Assuming ndege haijalipuka), just kwa kutumia normal and physical visibility?

2. Je iwapo ndege haionekani kwenye radar ndio basi tena - pilot hawezi kutumia njia yoyote kuokoa/ saidia

3. Je bila radar - ndege haiwezi tembea au hufiki popote?

Nawasilisha
 
Kama hionekani kwenye rada basii. Nimeeangalia na mimi siioni. Nenda kwenye goolge andika flight rader utaona
 
Back
Top Bottom