MAREKANI: Ndege ya kivita yadondoka

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
_89735730_89735729.jpg

Ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-52 imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka kwenye kambi ya taifa hilo eneo la Guam.

Jeshi la Marekani limesema wanajeshi wote saba waliokuwa kwenye ndege hiyo walifanikiwa kuruka salama na kutoka kabla ya ndege hiyo kuteketea.

Ndege hiyo ilikuwa imepaa kutoka kituo cha jeshi cha Andersen.

Picha zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zimeonesha moshi mkubwa ukitanda angani kutoka kwa vifusi vya ndege hiyo.

Ndege hiyo, ambayo hutumiwa kuangusha mabomu, ilitumwa Guam kutoka jimbo la North Dakota na ni sehemu ya juhudi za Marekani za kuendeleza uwepo wake kijeshi katika bahari ya Pasifiki.

Gavana wa jimbo la Guam amenukuliwa na tovuti ya habari ya Kuam akisema kwamba halikuwa shambulio.

Ndege aina ya 5-52 zimetumiwa na Marekani kwa miaka 60 sasa, na zilichangia sana vita Vietnam na Afghanistan.

Guam ni jimbo linalomilikiwa na Marekani eneo la Micronesia, Pasifiki magharibi na hupatikana kilomita 6,000 magharibi mwa Hawaii.

Mwaka 2008, wanajeshi sita walifariki baada ya ndege aina ya B-52 kuanguka karibu na Guam.

==========

B-52s are still going strong after 60 years in service in the US military - from Vietnam to Afghanistan.

Their main function is to provide the US with immediate conventional and nuclear global strike capability.

Guam is a US territory in Micronesia in the western Pacific, about 6,000km (3,700 miles) west of Hawaii.

The US Army's bases there are considered among the most strategically important in the region.

In 2008, six crew members died when a B-52 crashed into the sea near Guam.

Source: BBC
 
dooh verry nice ,mechanism ya kujiokoa mwemyewe kwnye ndege za kivita ni bora ni vyema technologia hiyo ikahamia kwnye ndege za abira.

sina uhakika ndege za kibongo zina za jeshi ziko na hii technologia ya kujifyatua kabla ndege kudondoka .
 
B-52: America's Iconic War Machine.

Designed and manufactured by Northrop, later Northrop Grumman, the cost of each aircraft averaged US$737 million (in 1997 dollars). Total procurement costs averaged $929 million per aircraft, which includes spare parts, equipment, retrofitting, and software support.
 
5aaf81f3730092fa10de01203486afdc.jpg

Ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-52
imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka
kwenye kambi ya taifa hilo eneo la Guam.
Jeshi la Marekani limesema wanajeshi wote saba
waliokuwa kwenye ndege hiyo walifanikiwa
kuruka salama kutoka kabla ya ndege hiyo
kuteketea.
Ndege hiyo ilikuwa imepaa kutoka kituo cha
jeshi cha Andersen.
Picha zilizosambazwa kwenye mitandao ya
kijamii zimeonesha moshi mkubwa ukitanda
angani kutoka kwa vifusi vya ndege hiyo.
Ndege hiyo, ambayo hutumiwa kuangusha
mabomu, ilitumwa Guam kutoka jimbo la North
Dakota na ni sehemu ya juhudi za Marekani za
kuendeleza uwepo wake kijeshi katika bahari ya
Pasifiki.
Gavana wa jimbo la Guam amenukuliwa na
tovuti ya habari ya Kuam akisema kwamba
halikuwa shambulio.
Ndege aina ya 5-52 zimetumiwa na Marekani
kwa miaka 60 sasa, na zilichangia sana vita
Vietnam na Afghanistan.
Guam ni jimbo linalomilikiwa na Marekani eneo
la Micronesia, Pasifiki magharibi na hupatikana
kilomita 6,000 magharibi mwa Hawaii.
Mwaka 2008, wanajeshi sita walifariki baada ya
ndege aina ya B-52 kuanguka karibu na Guam.

Chanzo: BBC.
 
Zil
View attachment 348906

Ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-52 imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka kwenye kambi ya taifa hilo eneo la Guam.

Jeshi la Marekani limesema wanajeshi wote saba waliokuwa kwenye ndege hiyo walifanikiwa kuruka salama na kutoka kabla ya ndege hiyo kuteketea.

Ndege hiyo ilikuwa imepaa kutoka kituo cha jeshi cha Andersen.

Picha zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zimeonesha moshi mkubwa ukitanda angani kutoka kwa vifusi vya ndege hiyo.

Ndege hiyo, ambayo hutumiwa kuangusha mabomu, ilitumwa Guam kutoka jimbo la North Dakota na ni sehemu ya juhudi za Marekani za kuendeleza uwepo wake kijeshi katika bahari ya Pasifiki.

Gavana wa jimbo la Guam amenukuliwa na tovuti ya habari ya Kuam akisema kwamba halikuwa shambulio.

Ndege aina ya 5-52 zimetumiwa na Marekani kwa miaka 60 sasa, na zilichangia sana vita Vietnam na Afghanistan.

Guam ni jimbo linalomilikiwa na Marekani eneo la Micronesia, Pasifiki magharibi na hupatikana kilomita 6,000 magharibi mwa Hawaii.

Mwaka 2008, wanajeshi sita walifariki baada ya ndege aina ya B-52 kuanguka karibu na Guam.

==========

B-52s are still going strong after 60 years in service in the US military - from Vietnam to Afghanistan.

Their main function is to provide the US with immediate conventional and nuclear global strike capability.

Guam is a US territory in Micronesia in the western Pacific, about 6,000km (3,700 miles) west of Hawaii.

The US Army's bases there are considered among the most strategically important in the region.

In 2008, six crew members died when a B-52 crashed into the sea near Guam.

Source: BBC
Zile za Russia zikidondoka huwa wanakuja na hoja kwamba eti ni 'inferior or low quality of technology'...Ngoja tusubiri humu watasemaje...jamani pro-USA njooni humu tuone comments zenu
 
View attachment 348906

Ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-52 imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka kwenye kambi ya taifa hilo eneo la Guam.

Jeshi la Marekani limesema wanajeshi wote saba waliokuwa kwenye ndege hiyo walifanikiwa kuruka salama na kutoka kabla ya ndege hiyo kuteketea.

Ndege hiyo ilikuwa imepaa kutoka kituo cha jeshi cha Andersen.

Picha zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zimeonesha moshi mkubwa ukitanda angani kutoka kwa vifusi vya ndege hiyo.

Ndege hiyo, ambayo hutumiwa kuangusha mabomu, ilitumwa Guam kutoka jimbo la North Dakota na ni sehemu ya juhudi za Marekani za kuendeleza uwepo wake kijeshi katika bahari ya Pasifiki.

Gavana wa jimbo la Guam amenukuliwa na tovuti ya habari ya Kuam akisema kwamba halikuwa shambulio.

Ndege aina ya 5-52 zimetumiwa na Marekani kwa miaka 60 sasa, na zilichangia sana vita Vietnam na Afghanistan.

Guam ni jimbo linalomilikiwa na Marekani eneo la Micronesia, Pasifiki magharibi na hupatikana kilomita 6,000 magharibi mwa Hawaii.

Mwaka 2008, wanajeshi sita walifariki baada ya ndege aina ya B-52 kuanguka karibu na Guam.

==========

B-52s are still going strong after 60 years in service in the US military - from Vietnam to Afghanistan.

Their main function is to provide the US with immediate conventional and nuclear global strike capability.

Guam is a US territory in Micronesia in the western Pacific, about 6,000km (3,700 miles) west of Hawaii.

The US Army's bases there are considered among the most strategically important in the region.

In 2008, six crew members died when a B-52 crashed into the sea near Guam.

Source: BBC
Ne....

Ingekuwa ni ndege ya Russia ndo imeanguka habari zingekuwa zimeenezwa duniani kote na US media. Kwa kuwa ni ndege yao ndo imeanguka habari zimetokea kwenye mitandao ya kijamii!
 
Back
Top Bottom