Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,602
- 1,084
Imetokea huko nchini Peruu, Bara la Amerika ya Kusini ambapo watoto wa shule takriban mia wamepandwa na kiwewe cha mashetani. Katika tukio hilo watoto wa shule waliweweseka, Walianguka ovyo, kupagawa, kuzimia , kupiga mayowe na kupoteza fahamu, huku wengi wakikiri kumwona mtu mwenye mwenye kuvaa nguo nyeusi akitaka kuwaua (man in black trying to kill them).
Shule hiyo inasemekana imejengwa juu ya makaburi ya zamani ya Wamafia (toka Italy).
Madaktari wanapata hali ngumu kuwatibu na kuelezea chanzo cha tukio hilo.
Chanzo: DailyMail la Uingereza
80 children hospitalised by outbreak of 'demonic possession' in Peru