(CNN)Christmas carols aren't supposed to have lyrics like "revenge is like the sweetest joy, next to getting p***y."
But that's exactly what churchgoers in Sri Lanka saw in booklets at a carol...
Sasa ni rasmi Trump ndiye Rais wa marekani na kushinda kwake kutamfanya Putin aendendelee kuwa chini yake.
Ni wazi sasa Putin hawezi kufurukuta tena kama alivyokuwa anafurukuta chini ya Obama ...
Serikali ya Misri imedhibitisha kwamba inamzuilia mwanahabari kutoka shirika la habari la AlJazeera aliyekamatwa Ijumaa.
Wizara ya usalama wa ndani inasema mwanahabari huyo, Mahmoud Hussein...
Urusi imetangaza kupokea miili 10 ya waathiriwa wa ile ajali ya ndege iliyotokea katika bahari ya Black Sea hapo siku ya Jumapili.
Maiti hizo zimesafirishwa hadi mji mkuu- Moscow.
Abiria wote 92...
Nimemsikia Rais Obama akisema kuwa Rais wa Urusi Putin ameingilia uchaguzi wa Marekani ni kusababisha Bi Hilary Clinton kushindws Na Donald Trump.Najiulisha Urusi imewezaji kuingilia? Urusi...
Image copyright BKA / HANDOUT
Image caption Polisi wa Ujerumani wametoa picha za Anis Amri
Mtu aliyeendesha shambulizi kwenyr soko mjini Berlin Anis Amri, ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi...
Mazungumzo yaliyokwisha juzi nchini DRC kati ya serikali na wapinzani yametoka na azimio moja la rais Kabila kuandaa uchaguzi kabla ya mwisho wa mwaka ujao 2017.
Maombi yake ya kukaa hadi Dec...
Balozi Turkey alivyoponea chupuchupu kuvunjwa kichwa. Mpigaji naona hakuzipanga vyema karata zake. Alijaribu kufyatua huku bastola ikiwa kwenye safe akashindwa kutekeleza nia yake. Nu huko mjini...
Baada ya miaka 22 madarakani hivi karibuni rais wa Gambia alishindwa uchaguzi wa kidemokrasia.
Cha ajabu hadi sasa ajakubali kushindwa, Majeshi ya nchi za afrika magharibi yakiongozwa na Senegal...
Wazee habari!!katika pitapita zangu mitndaoni nimekutana na hii..
First off, let me say, I have a team of experts that have given me their professional opinion on this video.
The ruffling of his...
Amekili kabisa hakupata uungwaji mkono katika kampeni zake na vyombo hivyo hasa kutoka SILLICON VALLEY, Ila kasema wazi kabisa Hakuna Mtu Kama wao duniani, na ni watu wa muhimu sana kwa maendeleo...
Nchi ya Senegal hivi sasa ipo katika mgogoro mkubwa sana na taifa la Israel baada ya kuhusika katika UN kuanzisha azimio la kupinga ujenzi wa makazi ya wayahudi katika ukingo wa magharibi wa mto...
Durban Mother kills 6-month old baby to prepare family’s dinnerDurban Mother kills 6-month old baby to prepare family’s dinner
This Durban mother is something else
More than 50,000 people had to be evacuated from a city in south Germany on Christmas Day after a 1.8-ton World War II bomb was found there. The bomb was discovered last week in Augsburg, during...
Ndege ya jeshi la Urusi, iliyobeba watu zaidi ya 90, imeanguka katika bahari ya Black Sea , punde baada ya kuondoka Sochi, ikielekea Syria.
Wizara ya Ulinzi inasema hakuna mtu aliyenusurika...
Rais mtata wa Ufilipino Rodrigo Duterte ametishia kuchoma moto makao makuu ya UN yaliyopo Newyork.
"Nenda na kafungue shitaka umoja wa mataifa ,nitaichoma moto umoja wa mataifa kama...
Chini hapo ni video za mkusanyiko wa watu waliokuwa wanaapia kuwa Donald Trump kamwe hatoweza kuja kuwa rais wa Marekani.
Nami nakiri kuwa nilikuwa mmoja wa hao watu licha ya kwamba uchaguzi wa...
Baada ya Serikali yetu kumtaka mmiliki wa JF kushirikiana na Serikali kumezuka maneno meengi ya dharau na kejeli dhidi ya Serikali yetu mimi naita dhidi ya Watanzania kwani Serikali inatuwakilisha...
Siku kadhaa baada ya kutokea tukio la kuuwawa kwa Balozi wa Urusi nchini Uturuki kwa kupigwa risasi kisha kujitokeza tukio lingine la lori kuingia katika soko linalouza bidhaa za Krismasi mjini...